hoteli ya saba saba a-taun

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. ETI MICHUZI NIKWELI GEORGE BUSH YUPO BONGO? AMEKUJA LINI? ATAONDOKA LINI? AU NDO SIKUKUU YA WAJINGA IMEBADILISHWA TAREHE? USISHANGAE NDO NAINGIA MUJINI NILIKUWA IKIJIJINI KILIMATINDE NIKAENDA NYAMATOROLA NA SASA NDO NIMETOKA URUNDA NASIKIA MIUONGO IYO! DUH! WATU WANAPIGANA KAMBA UKU AKUNA MFANO

    ReplyDelete
  2. We anony wa 19 Feb 2008 6:45 pm EAT acha ujinga wako hivi huna kazi yakufanya au vitu vya kuandika?????? Sasa hivyo ulivo andika unaisaidaiaje jamii hatuna shida na comment zako za kipuuzi. Hizo kamba labda wewe ndo unawambia watu. Acha ujinga bwana mambo mengine si ya utani.

    ReplyDelete
  3. Michuzi tx kwa hii picha umenikumbusha mbali sana. Niliishi kwenye hii hoteli kwa miaka miwili na nusu. Wow thanks for the good memories you always bring to this site

    ReplyDelete
  4. Kama uliishi kwa miaka miwili lazimaaa ulikuwa mfanyakazi wa Clouds fm maana walipewa vyumba hapo walipangisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...