metropole cinema bado ipo inadunda a-taun

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. jamani mweee, nimepamiss nyumbani uwiii
    Hapo pembeni ya Metro ni Green Hut, kuna maanjumati ya kufa mtu, sambusa zao, kababu na miskaki si mshezo.
    Asante michuzi, A Town si mchezo jamani, hata hali ya hewa ni tambarare

    ReplyDelete
  2. Oh my!!! Yaani picha za sehemu ambazo nilikua sijui nitazionaga. Hapo Metropole kulikua kuna duka la mhindi anauza korosho, karanga na chauro tamu kweli. Na mbele kidogo kulikua kuna duka la ice cream....

    ReplyDelete
  3. Oh my God !!!!
    umenikumbusha mbali Michuzi
    I LOVE THIS TOWN !!!
    Arusha, Arusha nakupenda kwa moyo wote ...
    mji wangu Arusha nilalapo nakuota wewe ....!!!!
    michuzi blog oyeee

    ReplyDelete
  4. Kushoto hapo pembeni ya metro kuna Mgahawa nikunywa saana chai na maandazi. (Tom bado upo?) Halafu mbele mtu mwenye baiskeli anapotokea nyuma yake kuna Disco tulikuwa tunaenda nisahau jina.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...