wadau wanazidi kumiminika zenji kufanya shopingi na kula wikiendi pamoja na kusikiliza sauti za busara

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mhh kaka ni Boti ni hiyo Fulanas?
    hahahahhaa sawa bwana hizi ndio editorial pics zinajieleza asante baba.

    Hii Pic unaweza kuandika story ya 10 pages hahaha

    ReplyDelete
  2. Hii mitumba ya bei rahisi hii itatupeleka pabaya.

    ReplyDelete
  3. Na hilo dume jamani na kijifulana cha feki...atajiuza kule au vipi? nasikia vibaka chungu mbovu tena mambo 'dual'

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...