mwanamuziki mkongwe mwanamama carola kinasha ameibua albamu yake mpya 'maono' na iko sokoni sasa. yupo zenji kama mmoja wa ma mc wa sauti za busara ambako albamu yake pia ipo dukani. mtembelee www.carolakinansha.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. mbona wbsite ya huyu dada haifunguki, wewe bwana mdogo michuzi? au umetupa feki?

    ReplyDelete
  2. HEI KAROLA UP MASAI WANGUUU!!UWA NAKUFAGILIA SANA WEWE DADA..
    MDAU NORWAY

    ReplyDelete
  3. Carolla, keep up the good work!

    ReplyDelete
  4. Yeah Carola keep it up Dadaa nadhani na Ras naye ataibuka soon... michuzi rekebisha link ya Carola ni www.carolakinasha.com na SIO carolakinansha.com kama ulivyoandika

    ReplyDelete
  5. website haifunguki! Michuzi mbona unatuyeyusha

    ReplyDelete
  6. mbwa mwitu aliyejivalia kama mwana kondooo...'act you age babes',acha kutuaibisha!!!

    ReplyDelete
  7. wewe unayeona Carola havai kama age yake unamatatizo yako!!kwani kila mtu ajiwekeweke tu kama mzee kwanini?dada Carola umebarikiwa sana dada yangu keep up a good job!!!!!!

    ReplyDelete
  8. Amah huyu aliyeanza kumnaga Carola na mavazi nani tena? Kila siku nikimwona Carola, mavazi yake hunivuta kweli, yalivyo ya heshima.

    Huyu mwendawazimu anaesema Carola anamwaibisha, ni mkwe wake au? Wewe ni mama yake na John au?

    Naomba wewe anony wa 3:58 mbona picha yako hujaweka hapa tuone hayo mavazi yako ya kondoo unayovaa kama kondoo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...