hatimaye leo nimeweza kutambulisha singo yangu'mdau nambari wani' sauti za busara...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. kwa kwa kwa kwe kwe kwe kwiiiiiiiii
    Michuzi hapa Sauti za Busara sehemu gani jamani? Mbona kuna feni kama chumbani?
    Ila Michuzi hii character yako nadhani hakuna aliyezaliwa mpaka sasa, vituko mtu balaa

    ReplyDelete
  2. Naam...huyo ndie Elvis mweusi...1.2.3...and rock and roll...tingisha mwana!!!!

    ReplyDelete
  3. Michuzi hongera kwa kutoa singo? Je, ni Instrumental maana umefunga mdomo, huimbi hapo.

    ReplyDelete
  4. Sasa unatufunga kamba, Umekuwa Bob Marley na wewe!

    ReplyDelete
  5. kaka michu mdomo tu unaonyesha uliwezi ilo gitaa. wewe Camera tuu

    ReplyDelete
  6. "Multi-talented Michuzi", hats off!! Je twaweza pata hiyo singo yako kwa kununua online?? au bado haijaingia sokoni? Fanya fanya wadau tukuunge mkono...

    Congrats bro!

    ReplyDelete
  7. Sasa itabidi wakuite Papaa Michu kama wacongo mani katika muziki.
    Michu umeona vitu vya hasheem thabeet leo hapo :-http://scores.espn.go.com/ncb/recap?gameId=280400041

    ReplyDelete
  8. mICHUZI PIMPING ALL OVER THE WORLD AKITETEA UTAMADUNI WETU NA GITAA LAKE KAMA VILE NDALA KASHEBA NA KINA KING KIKI DOUBLE OO.

    msanii michuzi unajua kupiga gitaa au umepiga picha na gitaa lako tu.
    Singo yako itakuwa na message gani
    Fulanaaaaaaaz ooo fulana umeggika Bariadi umefika mwanza umefika brazil ooo fulanazz watu wanakusema Fulanaaz baba ako anayo fulanaaaaaz ooo fulana fulana in da house fulana ya Michuuz ina madoa madoa fulana ya michuz watu wanaisimanga fulana ya matembezi haina makuu fulana haibani haipwayi fulana hiyooo inaingia Zenji mara imetoka hiyoo fulana. inatafutwa hiyo fulana mkiipata hiyo fulana msiichane rudisheni kwa mwenyewe hiyo fulana, inatosha kwa leo.

    ReplyDelete
  9. kamua michuzi kamua michuzi uctumie irizi

    ReplyDelete
  10. MICHUZI NAENDA OUT OF TOPIC KIDOGO NIMESIKIA TETESI YULE MUUAJI WA RAYMOND KAPARATA MBWELWA AMEKAMATWA LEO TZ IRINGA NI KWELI WE ARE JUST WONDERING HERE IN TX PLEASE FIND OUT

    ReplyDelete
  11. kaka michuzi hujachacha!!!!!!

    ReplyDelete
  12. Michuzi sijui kama kweli hii fani unaiweza,lakini naahidi kama hicho kitu ulichotoa nitanunua CD 100 basi kukuunga mkono tuu...lakini nafikiri wewe ni mtaalam wa picha na mambo ya blog/mitanda hayo mengine waachie kina njaa Ras yule unamwekaga hapa kachoka mpaka nywele haoshi

    ReplyDelete
  13. MICHUZI,,NASIKIA HII BEND YAKO,NDIO MMEFUNGUA WEWE NA FID Q,MAANA NASIKIA ITAKUWA INAPIGA HIP HOP NA NGWASULO??ILA ITABIDI UFUMBUE MDOMO!!MAANA SITHANI KAMA SAUTI ITASIKIKA?? MUKAMA~SEOUL

    ReplyDelete
  14. Mi na-suggest camera siku hizi zitengenezwe na-gitaa lake kwa wale wanafunzi wa gitaa kama Michuzi!

    ReplyDelete
  15. MICHUZI WADANGANYE WASIO JUA MUZIKI, UMESHIKA GITAA KWA POZI YA PICHA TU. NIMEANGALIA VIDOLE VYAKO, UJASHIKA CODE YOYOTE, AU WEWE UNAWEZA KUTUELEZA UMESHIKA CODE GANI? KWA MTU ASIE JUA GITAA ANAWEZA KUJUA UMESHIKA KITU KINACHO ELEWEKA, IYO CODE ULIOSHIKA HAIPO KATIKA ULIMWENGU WA MUZIKI KATIKA GITAA. LAKINI NAKUTAKIA HERI KATIKA SINGLE YAKO.

    ReplyDelete
  16. YAANI UKITAKA KUSUUZA ROHO,NJOO KWA MICHUZI,SIKU WATU WAKIAMKA VIZURI COMMENTS ZINAFURASHI,ANON WA 6:38AM NA MUMU MMENIFURAHISHA KWELI.
    LAKINI MICHUZI ANAPENDA KUTEGA WATU PICHA KAMA HII ANATEGEMEA NINI,KAMA SIO MADONGO.
    BY THE WAY HONGERA BRO MICHU YOU KNOW HOW TO ENTERTAIN US AND KEEP UP WITH THE GOOD WORK.

    ReplyDelete
  17. Hii Advert ya hii singo ingetoka kweli kweli kama inge advataiziwa na FULANAZ! michu oyeee!

    ReplyDelete
  18. Ha Ha haaa..hilo gitaa limemzidi nguvu, yani anaonekana kabisa kuwa kalemewa maskini...huo mdomo ni katika ku-strago kubeba gitaa!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...