Timu hiyo inayoshiriki katika ligiya soka ya ndani huko Lawarenceville imewezakujishindia mechi mbili na kupoteza moja tu hivyokuiwezesha kuongoza katika msimamo wa ligi hiyo.
Kwa mechi hizo tatu tu ilizocheza Tanzanite Fc imeweza kuonyesha wazi kuwa watanzania wanavipaji vizurikatika soka.
Uwanja umekuwa ukifurika katika kila gemuambayo timu hiyo imekuwa ikiingiza mguu. Habari zakuaminika zinasema kuwa kuna baadhi ya wachezaji watimu hiyo wameshaanza kunyemelewa na timu kubwa hapaATL.
Kwa habari zaidi za msimamo wa ligi na pichausikose kupitia mtandao wa timu. tanzanitefc.com
VIBONDE HAO WATOTO WA ATL, WAMEFUNGWA NA HOUSTON,NC,WASHINGTON DC,WAKENYA...
ReplyDeleteMbona wamechakaaaa!!!lakini congrats to keep fit!!!
ReplyDeleteHOUSTON HATA SISI TULIWAFUNGA KWAO NDO MPIRA ULIVYO.
ReplyDeleteHATUJAWAHI KUCHEZA NA N.CAROLINA WALA D.C . ILE ILIKUWA KOMBAINI YA WATANZANIA WA NORTHEAST,WALIUNGANA TUKAPIGWA 3-2 KAMA SIKOSEI.
HABARI NJEMA KWETU NI KUWA, WACHEZAJI WAZURI TOKA STATE ZINGINE WAPONJIANI KUHAMIA ATLANTA .
....POLE KWA MAUMIVU, INAELEKEA HUPENDI MAENDELEO YA VIJANA .
usikose tanzanitefc.com