Kama kawaida yao ile timu ya Wabongo waishio Atlantawameendelea kujizolea sifa kem kem kwa kutandaza sokasafi "isiyopimika"!
Timu hiyo inayoshiriki katika ligiya soka ya ndani huko Lawarenceville imewezakujishindia mechi mbili na kupoteza moja tu hivyokuiwezesha kuongoza katika msimamo wa ligi hiyo.
Kwa mechi hizo tatu tu ilizocheza Tanzanite Fc imeweza kuonyesha wazi kuwa watanzania wanavipaji vizurikatika soka.
Uwanja umekuwa ukifurika katika kila gemuambayo timu hiyo imekuwa ikiingiza mguu. Habari zakuaminika zinasema kuwa kuna baadhi ya wachezaji watimu hiyo wameshaanza kunyemelewa na timu kubwa hapaATL.
Kwa habari zaidi za msimamo wa ligi na pichausikose kupitia mtandao wa timu. tanzanitefc.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. VIBONDE HAO WATOTO WA ATL, WAMEFUNGWA NA HOUSTON,NC,WASHINGTON DC,WAKENYA...

    ReplyDelete
  2. Mbona wamechakaaaa!!!lakini congrats to keep fit!!!

    ReplyDelete
  3. HOUSTON HATA SISI TULIWAFUNGA KWAO NDO MPIRA ULIVYO.
    HATUJAWAHI KUCHEZA NA N.CAROLINA WALA D.C . ILE ILIKUWA KOMBAINI YA WATANZANIA WA NORTHEAST,WALIUNGANA TUKAPIGWA 3-2 KAMA SIKOSEI.

    HABARI NJEMA KWETU NI KUWA, WACHEZAJI WAZURI TOKA STATE ZINGINE WAPONJIANI KUHAMIA ATLANTA .
    ....POLE KWA MAUMIVU, INAELEKEA HUPENDI MAENDELEO YA VIJANA .

    usikose tanzanitefc.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...