jk na mama wa kwanza wakipozi na timu ya taifa ya wanawake a.k.a twiga staaz ikulu pamoja na waziri wa habari, utamaduni na michezo, mh. george mkuchika (nne shoto), naibu wake mh. joel bendera (kuume na prezidaa wa tff sir leodegar chilla tenga. leo pale neshno twiga wanapepetana na kameruni kuwania kufuzu kucheza fainali za kombe la mataifa ya afrika yatayofanyika baadae mwaka huu huko equatorial guinea. mgeni rasmi kwenye pambano la leo anatarajiwa kuwa mama wa kwanza

duuuuuuh, mie sisemi saana kuna madem 3 nawajua walikuwa wananifukuzia na mmoja wapo kabisaa alikuwa hanipendi maana nilikuwa hata salam simuongeleshi...mie nawaombea mafaniko mema tuu.. sasa michuzi mbona huweki maelezo kama mpira umeanza ama?
ReplyDeleteWadau embu nisaidieni, hivi hili neno mama wa kwanza ni official translation au ni kama neno maiwaifu wangu analotumia michuzi?
ReplyDeleteWeeee unayejitia eti kuna mademu 3 walikua wanaufukuzia acha ushamba yanahusiana na nini kundika humu??? nenda kajifunze ustarabuuu wee ni mshamba eti ohhh hata salamu nikua simpi bonge la kupitwa na wakati usitundikie ujinga humu
ReplyDelete