President Jakaya Kikwete has accepted resignation of Prime Minister Edward Lowassa tendered yesterday morning, and has dissolved the cabinet, according to a press statement issued by State House last night from Dodoma.
State House sources said that the President is expected to announce a new cabinet anytime from now.
Political observers are considering front runners for the post of the Prime Minister the current Foreign Minister, Mr Bernard Membe, and the Minister for Local Governments, Mizengo Pinda.
However, they did not rule out President Kikwete picking completely an outsider to oversee the government's affairs.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. michuzi huyo mizengo pinda wa nini kwenye serikali yetu hii? hawa si ndo walikuwepo toka enzi za mkapa? aachane nao! aweke mutu mupya kabisa hapo, hawa viongozi wa miaka nenda rudi hatuwataki. na huyo membe abaki hukohuko mambo ya nje!

    ReplyDelete
  2. Hapo bila shaka MP mpya ni MIZENGO PINDA.

    ReplyDelete
  3. Hi Mr.Misupu, Where can we apply for those position, I am a TZan in US Need job at home. Kwanini hakuna junsi sisi tulioko nje ya nchi hatupati nafasi kupatakazi. Ahahaha Aibu nini atambiwa bwana Kichaka

    ReplyDelete
  4. Napenda kukupongeza mh.JK kwakukubali kujiuzuru kwa hao mafisadi!ila tunakuomba sana mh usituwekee mafisadi wala wana mtandao bila kumsahau Pete Selukamba mb wa kigoma na mh Dr Makongoro Mahanga na wengi wengi nimekupa baadhi tu

    ReplyDelete
  5. wabeba mabox, baraza ndio limevunjwa...ebwa u never know labda shavu la mh edo litaniangukia mimi au minister wa energy utakuwa wewe bwege,,,,,u can submit ur cv kwa jk kama unapendelea kuwemo kwenye list ya mafisadi jkikwete@linktz.com au mcheck kwa sms 255754000500

    ReplyDelete
  6. Membe my b pm,magufulu uhaya ndio unamponza na mwenzie mwandosya ujimbo,haya ujana ndio unamponza membe haya all the best mizengo pinda

    ReplyDelete
  7. Jk usituwekee wauza sura tupe kitu na box mpaka wananchi wako tuwe na imani nawe mwaka 2010.wapo wengi tu watanzania wakuwatumikia wananchi wenzao sio wenye kujilimbikizia mali kwa kutunyonya sisi walala hoi, wavuja jasho, wala vumbi, wachanjambuga. Safisha njia baba tanzania bika ufisadi yawezekana mzee.

    Pia ongea na mzee 6 aache kuwabania wawakilishi wetu Wabunge wanapowakilisha hoja zao ilhali ni ukweli waache waongee wawakilishi wanaungua vifua kwa kubaki na hoja zao vifuani, ni aibu hoja nyingi zinazowaumiza wananchi zinafukunyiliwa na wapinzani wakati tungetegemea chama tawala kisafishe kabla.

    nakumbuka ulituahidi kuwa wewe ni mtu mzuri pia ni mbaya sana pale mambo yasipoenda sawa, ushauri wangu wa bure kweko mh raisi, waliotufisidi wafilisiwe nawao ili iwe fundisho kwa wote waroho, walafi wa mali ya dhuluma kwa wananchi wanyonge walala hoi wavuja jasho wala vumbi jamani

    ReplyDelete
  8. Prezident JK wishes to announce a vacancy for the following posts below,

    1)WAZIRI
    Qualifications
    -Angalau katibu kata
    -Asiwe mwenye makashfa
    -Chama chochote
    -Awe Mtu mzima angalu

    2)MKURUGENZI WA TAKUKURU
    Vigezo
    -Awe Hali rushwa na aichukie
    -Asiwe na Tamaa
    -Asifungamane na Yoyote
    -Awe mtu mzima Angalau

    SIFA ZA JUMLA,
    -Asiwe kwenye Mi-buzwagi, Mi-EPA na Mi-Richmond yoyote.

    Tuma CV yako kwa jk@kasimpya.com kabla ya Jumapili hii

    ReplyDelete
  9. Kwa ushauri wangu nadhani imefika wakati sasa position kama hii ya PM wapewe wasomi sasa na wenye upeo wa kutathmini na kuchanganua mambo kwa kina zaidi. bunge lina watu wakali wengi mno ndani ya bunge ambao ni wasomi na wenye CV zilizoshiba kwelikweli kwa upande elimu,siasa, na hata utendaji/ufanisi wa kazi na si wababaishaji for sure. Mfano kuna huyu mwkti wa hii tume ilimng'oa Lowassa, yaani Dr. Mwakyembe, kuna Prof. Mwandosya, na kuna ma dr. kadhaa tu wenye sifa zao za kiutendaji zisizo na matatizo. Pia ,kwa sasa inahitajika uangaliwe uadilifu na si urafiki tena kwenye Position kama hii ili kuepuka mambo ya kubadili baraza kila miaka 2.

    Nawasilisha

    ReplyDelete
  10. Nyie mnapayuka tu politics za tanzania hamzijui anyway to be realistic naona hapo PM anakuwa Dr Asha Rose migiro. Mama meghji angelikuwa the best candidate but udhaifu wa kufanya maamuzi bila ya taarifa nitashangaa sana akiwa PM however yeye pia sio mbaya if u compare na mafisadi wengine.

    Otherwise PM atakuwa Magufuli, Membe bado mchanga kiutawala therefore hawezi kuitawala serikali vizuri na kuwaamrisha mawaziri.

    Wadau muwe yakinifu kwa mnachokiandika sio mnasema tu na wabeba mabox kama hamna cha kuchangia bora msome then mkabebe mabox yenu kwani time hamna.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...