Home
Unlabelled
ajira
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ni sawa ila naona nyingi hapo ni za domestic yaani za nyumbani. inatia hasira kuona tukamera huto wanatumia hata kwenye harusi. iko haja uwaelimishe maana ya quality kwani ingawa inapata picha kamera ndogo quality yake inakuwa ogokoni. lakini nawapongeza kwa kujiajiri, vinginevyo wengine wangeishia kuuza pipi na sigara barabarani na kuvuliwa nguo na mgambo
ReplyDeleteni kweli, hongera zao, ila kama alivyosema mdau hapo juu, inabidi waelimishwe tofauti za domestic na commercial video cameras. kwa wadau mnaosoma blog hii, usije kubali mtu a-shoot harusi yako kwa kutumia video camera kama hizi, unless ni kwa matumizi ya nyumbani, bora ulipe pesa na upate quality. overall, vijana wanajitahidi, mwanzo mgumu.
ReplyDeleteNyinyi ma-anony hapo juu kumbukeni kwamba mtu hujikuna anapoweza.
ReplyDeleteNa wewe michuzi picha za mnato maana yake nini? neno mnato kwa sisi waswahili wa darisalama lina maana nyingi.
Mi nawapa big up hawa vijana, this is a good start, hizo dosari zingine zitaendelea kurekebishwa mbele ya safari. Afadhali wanajishughulisha kuliko kukaa bure! Mungu awabariki vijana na mpige hatua ya kuondokana na umasikini!
ReplyDeleteNadhani unamaanisha picha za mgando, sio mnato.
ReplyDeletePicha za quality Bongo? mnajifanya hamjui maisha ya Bongo, bongo kila kitu feki mpaka siasa zetu kwani hazileti matunda yaliyobora tangu tupate uhuru. Mnayetaka quality kaeni huko huko ugeni hapa bongo tuachueni wenyewe
ReplyDeleteNINYI WADAU HAPO JUU... NAOMBA MUULIZENI MICHUZI ALIANZA KAZI YAKE KWA KUTUMIA PICHA GANI?. KAMA SIYO YASHIKA ITASKUA TOSHIBA TANA ISITOYO WEZA HATA KU ZOOM. HUO NI MWANZO TUU BIG UP VIJANA...............EANDELEENI KWA ARI KUBWA
ReplyDeleteDuh...paparazi kandambili!!!sasa wakati kuna 'brekingi nyuzi',hao jamaa wanafika pahali namna gani???au na daladala!!!
ReplyDeletepaparazi wa kushoto naona anafuta lenz yake na nguo. halafy hilo vumbi la dar na joto la jua sijui hiyo picha itatokaje...mwee
ReplyDeleteZa mnato sio!!
ReplyDeleteNimependa hiyo!!!
huyo dogo anatext wakati wenzake wanachukua news ata ripoti nini sasa
ReplyDeleteMBONA SURA ZAO ZINA HUZUNI HUZUNI ILIKUWA MSIBA NINI?????
ReplyDeletewalahi HUKO TUNAKOENDA...TEH TEH TEH TEHHHHHHH...KUBAYAAAAAAA. DUH. WATALII NAO WATATUMIA CAM GANI.
ReplyDeleteANYWAY HIZO SIKU HIZI NI BUNDUKI.CAM C SIKU HIZI NI SAWA DIG CAMERA UKUBWA WAKE.NO TAPES JUST SD CARD.