vijana wengi bongo wanajiajiri kwa kupiga picha, ambapo sasa wengiw wao wamejikitta zaidi kwenye video kuliko picha za mnato

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. ni sawa ila naona nyingi hapo ni za domestic yaani za nyumbani. inatia hasira kuona tukamera huto wanatumia hata kwenye harusi. iko haja uwaelimishe maana ya quality kwani ingawa inapata picha kamera ndogo quality yake inakuwa ogokoni. lakini nawapongeza kwa kujiajiri, vinginevyo wengine wangeishia kuuza pipi na sigara barabarani na kuvuliwa nguo na mgambo

    ReplyDelete
  2. ni kweli, hongera zao, ila kama alivyosema mdau hapo juu, inabidi waelimishwe tofauti za domestic na commercial video cameras. kwa wadau mnaosoma blog hii, usije kubali mtu a-shoot harusi yako kwa kutumia video camera kama hizi, unless ni kwa matumizi ya nyumbani, bora ulipe pesa na upate quality. overall, vijana wanajitahidi, mwanzo mgumu.

    ReplyDelete
  3. Nyinyi ma-anony hapo juu kumbukeni kwamba mtu hujikuna anapoweza.

    Na wewe michuzi picha za mnato maana yake nini? neno mnato kwa sisi waswahili wa darisalama lina maana nyingi.

    ReplyDelete
  4. Mi nawapa big up hawa vijana, this is a good start, hizo dosari zingine zitaendelea kurekebishwa mbele ya safari. Afadhali wanajishughulisha kuliko kukaa bure! Mungu awabariki vijana na mpige hatua ya kuondokana na umasikini!

    ReplyDelete
  5. Nadhani unamaanisha picha za mgando, sio mnato.

    ReplyDelete
  6. Picha za quality Bongo? mnajifanya hamjui maisha ya Bongo, bongo kila kitu feki mpaka siasa zetu kwani hazileti matunda yaliyobora tangu tupate uhuru. Mnayetaka quality kaeni huko huko ugeni hapa bongo tuachueni wenyewe

    ReplyDelete
  7. NINYI WADAU HAPO JUU... NAOMBA MUULIZENI MICHUZI ALIANZA KAZI YAKE KWA KUTUMIA PICHA GANI?. KAMA SIYO YASHIKA ITASKUA TOSHIBA TANA ISITOYO WEZA HATA KU ZOOM. HUO NI MWANZO TUU BIG UP VIJANA...............EANDELEENI KWA ARI KUBWA

    ReplyDelete
  8. Duh...paparazi kandambili!!!sasa wakati kuna 'brekingi nyuzi',hao jamaa wanafika pahali namna gani???au na daladala!!!

    ReplyDelete
  9. paparazi wa kushoto naona anafuta lenz yake na nguo. halafy hilo vumbi la dar na joto la jua sijui hiyo picha itatokaje...mwee

    ReplyDelete
  10. Za mnato sio!!

    Nimependa hiyo!!!

    ReplyDelete
  11. huyo dogo anatext wakati wenzake wanachukua news ata ripoti nini sasa

    ReplyDelete
  12. MBONA SURA ZAO ZINA HUZUNI HUZUNI ILIKUWA MSIBA NINI?????

    ReplyDelete
  13. walahi HUKO TUNAKOENDA...TEH TEH TEH TEHHHHHHH...KUBAYAAAAAAA. DUH. WATALII NAO WATATUMIA CAM GANI.
    ANYWAY HIZO SIKU HIZI NI BUNDUKI.CAM C SIKU HIZI NI SAWA DIG CAMERA UKUBWA WAKE.NO TAPES JUST SD CARD.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...