he! leo hatunywi maji mjini kwa jinsi wadau wa imarati watavyochonga; utafikiri wamebeba kombe.... Ah, haya jamani hongereni kwa kuona mwezi!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Ahhhhh Issa bwana...tupongeze basi? unafikiri kumnyuka Ancellot ni rahisi?

    Ahhhhhhh....tena kwake?

    ReplyDelete
  2. MHH LEO NA WE ULIKOLALIA SIJUI LEO KUUTANGAZA USHINDI WETUUU!!!
    BULOGU YETU HAINA DINI
    HAINA KABILA
    ILA KWA SUALA LAUSHABIKI WEE BWANA WEE
    ILA NAJUA UMEKUBALI KIWANGO CHA VIJANA

    ReplyDelete
  3. Kaka Michu,mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, vijana wamejitahidi. Wameweka kombe hadharani watu sasa gombeeni!

    ReplyDelete
  4. kwa kweli ni ushindi mzito sio kwa vijana wa Emirate peke yake bali,ila ni heshima pia kwa timu za UK,maana sio kazi rahisi kumfunga yule mzee kwakwe .Pili huwa napenda kuwakumbusha wadau kuwa Asernal ndo iliovunja mwiko kama huuhuu mwaka juzi kwa kuwafunga Madrid kwako so sio jambo la kushngaza sana kwa wadau.Issa zaidi na kwa kuonyesha kweli uanjua mpira jana ulichezwa wa kiwango cha lami wasitahili kuipongeza timu na kumkubali Cec Fab kwa kazi alioifanya pale katikati,alicheza kwa kiwango amabcho makocha wengi hutamani wachezaji wake wacheze vile bila mafanikio .


    Hongereni wadau nawa Arsenal

    Nawakilisha

    ReplyDelete
  5. nilikuwa nasubiri kuona kama utatuwekea liushindi letu ama la, maana hii ni timu ya kwanza ya uingereza kuishinda AC Milan katika uwanja wao, na mimi naona pale San Sinro ni nyumba ya pili ya Arsenal ukiondoa Emirates, kwani tulishawahi kumtandika mtani wao bao tano pale pale. halafu nyie mlikuwa hamna imani na Arsenal, hivi hamjui kwamba Arsenal haijawahi kutolewa na timu za Italia katika mashindano haya? sasa mnashangaa nini tena, na sasa tunamsubiri sijui nani, naombea watuletee Barcelona ili tumnyuke nae na kurejesha heshima, hii ndo Arsenal bwana heshima mbelee, daima, go go go gunners

    ReplyDelete
  6. JAMANI KAKA MICHUZI HUU NI USHINDI WA UINGIREZA YOTE KWANI AC MILAN INATISHA KATIKA MASHINDANO HAYO,WENGER NA VIJANA WA IMARATE WANASTAILI PONGEZI KUBWA SANA,NAIOMBEA MUNGU ARSENAL TUFIKE FAINAL MWAKA HUU HUKO JIJI LA MOSCOW.HAWA NDO THE GUNNERS BWANA UWEZEKANA NI MKUBWA SANA KOMBE HILI KWENDA UINGEREZA MWAKA HUU. HUREEEEEE ARSENAL!!!!!!!!!!!!!!!!!

    MDAU WA THE GUNNERS TOKA BONGO.....MLAU

    ReplyDelete
  7. MIMI NDIYO SHABIKI TOKA MORO AFISA MIKOPO KWA USHINDI WA JANA NATOA MOKOPO BUREEEEE HAPA POSTA MORO

    ReplyDelete
  8. Go the gunners go, watoto wamewavua wazee ubingwa na wao washakuwa mabingwa mpaka baada ya fainali. Robo fainali na waje man u wagongwe ili hasira iwazidi na wakija kwenye premier ligi nako wagongwe ndio watakubali kwamba wenger anafanya nini!

    ReplyDelete
  9. tatizo la michuzi ana wivu sana anatamani liverpool ingekuwa arsenal...long live arsene you bring us joy, wat a nite at san siro....ITALIAN JOB done in a arsene style...by the way did gatusso play? i didnt see him on the pitch....hahahaaha

    ReplyDelete
  10. Najua Arsenal wanajua fika kuwa wakipangiwa Man U kwenye quarter finals then ndio mwisho wao. Wachezeeni tu hao vikongwe wa milan waliojizeekea lakini tukikutana na nyie mmelia. And dont even start on 'why didnt u beat Milan urselves last season' garbage, because we had injuries on key players on the second leg at San siro. Yaani naombea quarter finals tukutane itakuwa ni burudani tele, tuwatandike champions league, tuchukue premiership kutoka kwenye pua zenu afu mbakie mnalia machozi ya damu!!!!

    ReplyDelete
  11. mbona ya manchester husemi?

    ReplyDelete
  12. Mimi ni shabiki wa Chelsea, ila Mnyonge haki yake apewe, Arsenal wamedhihilisha mpira wanaujua na wanastahili kupongezwa. Wale wa ManU, ningependa kuwaataarifu tu kwamba,nyie kucheza na Arsenal ni mpaka mpunguziwe makali yao na Liverpool, ndio maana watu wenu wa FA wamepanga kila mkitaka kucheza nao mpaka Arsenal icheze na Liverpool kwanza. mzunguko wa kwanza ilikuwa hivyo na wa pili ni hivyo pia. Vijana wanapiga soka la Play Station three.

    ReplyDelete
  13. Ushindi for Eduardo aka Dudu. Man mnaongea nini ona huyo apo juu bumba.com nyie si mlichapwa 3 pale

    ReplyDelete
  14. Kaka michu wadau wa imalat wana deserve kuchonga kwani before match dunia nzima ilikuwa inaamini kuwa Arsenal inaenda kupigwa kama walivofanywa MAN U last season, wakisahau kuwa mpira unadunda na pia arsenal ndio first english team to beat JUVE and MADRID on their own pitch. Mimi mdau(Ubatani/Turkey)

    ReplyDelete
  15. issa acha donge tupe tano zetu kama soka tumepiga tunakusubiliwewe tutuone mtafanyanini 2nd leg

    ReplyDelete
  16. KWA UJUMLA,Ushindi wa Arsenal ni wa kishindo,hao akina Gatuso kumbe ni vitisho vwa bure tu.Wanategemea zaidi sala za papa ku wini magemu ya nyumbani.
    Mdau wa Arsenal,
    Mbeya.

    ReplyDelete
  17. Most play the game. Few know the game. Arsenal understands football.

    ReplyDelete
  18. Most play the game. Few know the game. Arsenal understands football.

    ReplyDelete
  19. Arsenal lazima wajue kuwa kuwashinda Manunited ni kama kuota mchana,zile goal 4 FA cup walifungwa na njuka..!Lakini goal 6 zinazokuja hapo April zitafungwa na wajuzi..mimi yangu macho tu this year..kama sio 3 treble.

    Orasa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...