

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tanzania hatuna Chuo Kikuu Kishiriki cha Mawasiliano ya Umma na Aandishi wa habari, bali tuna Taasisi ya Mawasiliano ya Umma na uandishi wa habari ya chuo kikuu cha Dar es salaam (Institute and Journalism and Mass Communication of the University of Dar es salaam). Taasisi huongozwa na Mkurugenzi (Director), Chuo kikuu Kishiriki huongozwa na Mkuu wa chuo (Principal). Inabidi uelewe tofauti ya Taasisi na Chuo Kikuu kishiriki
ReplyDeletekaka ayub...unawakilisha vyema wadogo zako enzi zile za Meru Hall Ilboru......wapi kaka seleman lilumba,malila shindika?yaani hii ni safi sana.....mzee wetu bino akiona hizi anafurahia matunda yake ya uongozi thabiti pale ilboru...wadogo zako tupo tunawakilisha vyema kila sehemu tulipo.....
ReplyDeleteduhh, mwalimu rioba, namkumbuka enzi hizo anafundisha pale tsj_ilala, amechanaa!!!!
ReplyDeleteHivi ni kweli Ayoub Rioba ameshakuwa Mhadhiri Mwandamizi (Senior Lecturer)? Au ndio mambo ya kasi mpya, ari mpya, nguvu mpya hadi kwenye taaluma?
ReplyDeleteNdio Rioba, mwanaharakati na mwandishi mashuhuri. piga msasa vijana wa taasisi hiyo wawe kama wewe sio kuzalisha makanjanja.
ReplyDeleteila umri unakwenda Bia na ubwabwa wako tutaula lini???
weka mwanamke ndani.
Mdau wa 12:28 nimeipenda Comment yako, lini tutakula Ubwabwa.
ReplyDeleteduuuu!Rioba amechana abnomal,lakini dada manka amekuona kaka Rioba sasa nadhani atakufuata pale Chuoni.naona baadhi ya vigezo unavyo kama gari una benz na range rover.shavuuuuuuuuuuuuuuu
ReplyDeleteHivi ni Rioba au Ryoba??? samahani kuulizasi ujinga..Ayub nimesoma naye Ilboru nakumbuka jina lake lilikuwa linaandikwa Ayub Ryoba!!!
ReplyDeletejamani hatuna institute, siku hizi inaitwa shule kuu ya uandishi wa habari na mawasiliano ya uma au kwa kiingereza School of journalism and mass communication (SJMC)
ReplyDelete