Home
Unlabelled
baab kubwa sokoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Matajiri au wanajiweza basi kama ni hivyo basi mimi nitakuwa tajiri mkubwa sana hapa bongo
ReplyDeleteJamani kweli hao ndiyo wasanii matajiri wa bongo au basi tu tunapakana mafuta kwa mgongo wa chupa? mimi najua matajiri wa bongo ni wanasiasa na watu wa misheni town
ReplyDeleteWOW , SIKUJUA KAMA TUNA WASANII MATAJIRI BONGO PIA,UNGENAMBIA NIOTEE NINGESEMA KINGWENDU AU KING MAJUTO.........HONGERENI SAANA LADY, AY NA DADA JD MI SIKUITI LADY BADO......
ReplyDeleteWangekua mbali sana hao mnaosema matajiri wa muziki wakiTz,kama suala la copyrights lingeshikiwa bango na sie pia tungeacha kununua nyimbo kwa sh.100 tu kwa ma cd's burners. Na wasambazaji wangekua wanaheshimu haki za umiliki na mikataba. Vinginevyo hawa tu ndio watafaidika ngoma itakua nzito kwa wale wanaukuja juu,kwani hawa tayari wana majina yanayouzika
ReplyDeleteHahahahaaa!!!!,hao ndio wasanii matajiri bongo!!!,mbona hatujaoneshwa Account zao zinakiasi gani?ni vigezo gani vilivyotumika mpaka wao ndio wakaonekana kua ni wasanii matajiri?au ni ile nyumba ya JD mliyotuonyesha,na na nguo anazo AY?sasa KP nae tumwiteje?
ReplyDeleteUncle Michuzi mimi swali langu ni moja tu naomba kufahamishwa. Ni vigezo gani ambavyo wanatumia kupata hao wasanii matajiri kumi? Maana kuwa na nyumba au Mark II huko ni kujiweza na sio utajiri. Forbes magazine huwa wanatoa top 100 richest people na vigezo vyao wote tunajua... Tunataka vigezo. Thank you
ReplyDeleteNinadhani mwandishi alitaka ieleweke kwamba hawa ni matajiri wakilinganishwa na wasanii wenzao.
ReplyDeletenimeona jana bwana hao wasanii kumi ila kuna mmoja nimepata wasiwasi klyn eti nae yumo kwenye top ten ooh my anautajiri gani klyn wakati anagharamikiwa kuanzia chu#* na mwanaume jd sawa she hard working girl ni hela yake lakini klyn noooooooooooooooooooooooooo
ReplyDeleteJamani mbona hamuelewi? hawa ni matajiri wa bongo..........yaaani poormond na si richmond
ReplyDeleteFORBES TOP 10 (in $bn)
ReplyDeleteWarren Buffett (US): 62
Carlos Slim (Mexico): 60
Bill Gates (US): 58
Lakshmi Mittal (India): 45
Mukesh Ambani (India): 43
Anil Ambani (India): 42
Ingvar Kamprad (Sweden): 31
KP Singh (US): 30
Oleg Deripaska (Russia): 28
Karl Albrecht (Germany): 27
wasanii matajiri??Lamborghini,messarati,Buggati,Bentley Gt,phantom rr,sijui kama hawa wanaweza kupata hata moja kwa kuwa na nyumba mbagala na kuwa na hiace iliyochorwa chorwa sio utajiri.Mmoja wao aliwahi kupewa jeep ya bure na sasa miguu chali maana jeep ilikuwa 3.5cc na kojo la mwarabu kwa siku ni lita kama 50,bado ujakula mufindi(ac) sasa ndio useme matajiri hawa ,wana kiasi cha mboga na kuchange nguo za thailand ambazo zinatoka kwa cheap and child labour.vigezo ni kuwa na band na kupata laki tatu kwa shoo??huo ni utajiri.Wakati kuna watanzania wanaingiza 100m+ Tsh per day.wake up man??
ReplyDeleteHakuna kitu,just kiasi cha mboga tu
ReplyDelete...haswa! Nakumbuka kijijini nilikokuwa naishi wakati nasoma shule ya msingi, mtu mwenye nyumba iliyoezekwa kwa bati aliitwa tajiri bila kujali imejengwa kwa miti au totali za udongo....!
ReplyDeleteNinavyojuwa mimi tajiri wa tz hawezi linganishwa na matajiri katika nchi zilizoendelea. Mwanamuziki wa tz akiweza kununua gari hata la mil 10 tu tayari anaonekana ni tajiri kati ya wasanii wengi ambao wengi wao wanategemea kulipa kodi za nyumba walizopanga kutokana na mauzo ya mwezi husika.
Ninachosisitiza hapa ni kwamba tuwe wawazi. wenzetu wakitaja matajiri wanataja na utajiri walionao, mauzo yao kwa mwezi au mwaka nk. Vinginevyo itakuwa ni kudanganya tu
Mbona hakuna picha ya KP na MISUPU hapo kwenye jalada? ieleweke hao nao ni wasanii tena machachari kwelikweli
ReplyDeleteNgoja nikomelee oni langu. Nadhani hawa ni wasanii wa muziki na si wasanii wote kwa ujumla wao.
ReplyDeleteMimi nafahamu wasanii (si wanamuziki lakini) matajiirrrrrrrrrrrrrriiii wa mabilioni.Wanaoingia benki wafanyakazi wanashangaa kama wao ndio wenye hizo account. Ila huwa wako kimyaaa wakilitumikia taifa kwa nguvu zao zote, kwa moyo wao wote na kwa heshima zao zote bila makeke wala kukuru kakara
Kama mwandishi alimaanisha hawa vijana wanaochipukia wa bongo flava na hip hop labda, maana sijui undani wao ila mmmh haya
Wabongo sisi washamba sana ona sasa wabeba box wameanza kuwacompare kina lady jd na kina bilghate jaman huu ushamba tutaacha lini?? nyumban ni nyumban kwenda kwenu huko kuyabeba hayo mabox basi imekuwa taabu lol... ni mimi mla vumbi aka mtanzania halisi....
ReplyDeletematajiri wa kiasi gani wana maelfu kadhaa??au million??au billioni naona hao wana elfu kadhaa!!!!!!!!!!!!!$£5&*&^%na wakina kp na misupu wana million kadhaa na wakina majuto na small,bi kidude wana billion kadhaa kwa mtaji huu wa kutafuta matajiri.Na remmy atakuwa wapi na marijani rajabu??
ReplyDeleteNafikiri TZ imepata hasara kwa kuwa raia wake wengi hawajisumbui kufikiri, kazi yao kuropoka tu.
ReplyDeleteHivi wasanii matajiri 10 wa bongo ina maana gani? ni very simple, kati ya wasanii waliopo TZ hao 10 ndiyo wanaonekana kuwa matajiri kutokana na vigezo vya jarida husika. Utajiri ni relative term. Ukiwa tajiri TZ haina maana kwamba ni utakuwa tajiri pia Kenya, Uganda au Ulaya.
Kwa kiwango cha TZ na cha wasanii wa TZ hao ndiyo wameonekana kwamba ni matajiri. Hayo ya FORBES yanaingiaje hapa? Wengine, ''mbona hatujaoneshwa account zao''. Aliyekufundisha kwamba tajiri lazima uwe na pesa nyingi benki amekudanganya, kama wamewekeza kwenye hisa au raslimali nyingine je?
Mimi nashangaa sana hao wasanii kutajwa eti "matajiri" bila kuweka vigezo na upendeleo umetawala kiasi kikubwa tu mbona CHIBILITI hayumo kwenye listi!!!
ReplyDeleteKT.
..teh teh! mdau uliyesema hao ni POORMOND tu na wala sio RICHMOND hujatulia! Take 5! teh teh....
ReplyDeletewhat a joke, being famous does not mean to be rich. These guys are famous but not rich.
ReplyDeleteHuyu dada si juzi tu umetuwekea nyumba yake? Kama na yeye tajiri basi na mimi tajiri.
ReplyDeleteMpiga box mie lakini nimejenga home na nimefurnished nyumba yangu pia.
Labda kama una maanisha ni marajiri kuliko wasanii wengine bongo.
jamani kuwa na kagari na kanyumba kamoja uko ni kujiweza 2 ni kuishi standard life ambayo kila binadamu anatakiwa kuishi sio utajiri turudi kwenye kamusi tuangalie utajiri unaanzia wapi unatakiwa uwe na mali kias gani ndo tuandike mambo kama haya kama kuwa na gari na nyumba basi bongo tuna matajiri wengi sana ukiachana na hao wasanii.waandishi kiswahili lugha yenu itumieni vizur
ReplyDeleteHuo ni upendeleo uliopita mipaka.Mbona chibiliti hajawekwa hapo?yeye kigezo cha utajiri wake ana computer.Teh teh teh teh!!!
ReplyDeleteThis is funny. Ina maana mtu ukishajenga kijumba chako cha tofali za kuchoma na ukanunua kagari kakuzugia tayari unaitwa tajiri. Hao wasanii mngesema top 10 wenye uwezo wa kula milo mitatu kila siku hapo ndo ingekuwa sawa. Neno tajiri hapo limetumika visivyo.
ReplyDeleteMshika bunduki