mdau adil ilyas wa kampuni ya teknolojia ya mawasiliano na habari (teknohama) ya Infinity Communications Ltd akihojiwa na mtangazji wa redio ya ujerumani abubakar liongo kwenye maonesho ya teknohama huko hannover katika maonesho ya cebit ambayo habari zake ziko hapa www.cebit.de

Kweli ulaya kuzuri, Abou mpaka sauti imeiva. Fanya kazi bro achana na wale wafitini waliokuwa wanaendekeza fitna zisizo na msingi
ReplyDeletemjomba naona unachangia hoja mwenyewe. haya bwana limbukeni hajikisi
ReplyDelete