babu njenje ametangaza kuahirishwa kwa uuzaji wa lexus lake na anasema kwenye maswali aonane naye msasani club wanakotumbuiza njenje kila jumamosi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nadhani hiyo lexus ya Babu Njenje na Tshirt ya Michuzi vikinadiwa kwenye mnada mmoja, wadau tutauana kugombania. Asikwambie mtu, Babu Njenje auze lexus yake, anavyoipenda mwenye we khaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...