Home
Unlabelled
lesotho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KWELI WASAFI SANA DAR ES SALAAAM SASA MJI NAISHI LAKINI MCHAFU HUU WATU WACHAFU YAANI KAZI KWELIKWELI.
ReplyDeleteMbona kapiga picha uzungunitu?? atuletee picha ya manzese ya lesotho tuone kama wasafi kweli, kwanza hapo maseru ni kamji kadogo sana ukifika pale boarder yao na SA utajua tu nipo sehemu tofauti walivyochoka. so asitudanganye. sie pia ukipiga pale movenpick sijui mbona wasafi saana.
ReplyDeletewacha kutupagaisha bwana, sifia kwako.
Nadhani tujifunze kutoka kwa wenzetu. Nilitembelea Windhoek Namibia, nilifikiri niko hospitali. Mji ni msafi mpaka unahisi harufu ya dawa.
ReplyDeleteSheria za uchafu ni kali kuliko za kusafisha. Nadhani Tanzania inabidi turudi huko.
Katika miji ya Tanzania nafagilia sana Songea na Moshi manispaa kwa kujitahidi kwa usafi
We mdau wa hapo juu umetembea miji mingapi? naona hujafika iringa maana ungefika usingesema moshi mji msafi. Moshi chamtoto kwa iringa.
ReplyDeleteHakuna mji msafi tanzania kama Iringa