bosi wa deutche welle idhaa ya kiswahili andrea schmidt akiongea siku ya kuadhimisha miaka 45 ya idhaa hiyo jumamosi ilopita

watangazaji mahiri wa dw zainabu aziz (shoto) na umury kheiry

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Huyu umulkheri ana sauti ya kipekee, kwa kweli ni mzuri sana , hata kama habari si mzuri utapenda umsikilize, sauti yake ni mchnganyiko wa sauti ya kike na ya kiume (yaani in between) kwa kweli amebarikiwa.

    ReplyDelete
  2. Michuzi vipi??? Mbona hapa naona MANKA Mushi tu, kulikoni?? Au hatuwekewi mambo mengine hadi huyo Mwana CV manka apate DUME??

    ReplyDelete
  3. wewe misupu embu ondoa huyo malaya manka hapo chini, kwani anitia kichefuchefu. bwabwabwabwa

    ReplyDelete
  4. Michuzi,
    Naomba utuwekee picha ya yule Mtangazaji wa idhaa ya kiswahili ya DW mwenye sauti yenye utata - hata jina lake sijui linaandikwaje ndio maana nasita hata kuliandika, nadhani umenisoma...

    kama ni mmoja wa hao akina mama ktk picha hpo juu naomba utufahamishe vizuri tupate kumfahamu. wengi tunamsikia akirindima lakini hatuna taswira yake ktk akili zetu. Halafu pia utuandikie jina lake kwa ufasaha

    ReplyDelete
  5. Pongezi DW kwa kazi mnayofanya.

    Ila kubwa ya yote napenda sana kumsikiliza Umulkheiryn na kumpongeza ..napenda sana anapokuwa anatangaza habari za mashariki ya kati hasa hiyo sauti yake..Hebu mdau imagine anatamka cha cha HAMMAS..aaa aaaa

    ReplyDelete
  6. brother michuzi pole na kazi naomba kuuliza mechi ya bwawa la maini itaonyeswa kwenye local tv maana dstv yangu ina matatizo

    ReplyDelete
  7. Herzliches Will kommen in Deutshland Bruder Michuzi.Wir sind stolz auf dein Arbeit und wünchen wir ihnen eine gute aufenthalt hier in Deutchland.
    Mdau wako toka Baden.Baden

    ReplyDelete
  8. Huyo mama umry kheiry namkubali sana katika vipaji duniani anatisha miaka yote nilishidwa kujenga taswila yake kichwani kumbe ndio huyu asante sana michu jamani dw inapatikana kwenye net kama bbc/swahili au naomba msada

    ReplyDelete
  9. Anon wa Tarehe Tuesday, March 11, 2008 11:09:00 PM EAT,

    Unaweza kuipata DW kupitia link hii: bofya hapa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...