Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. kp acha zako, hii bongo sio ile ya 47 wewe ulipokua shule, bongo imendelea watoto wetu wanaouwezo wa kutofautisha kati ya PC na Vido......

    ReplyDelete
  2. It's something to cheer KP,not to geer

    ReplyDelete
  3. Michuzi mbona huna habari mpya toka majuzi??umeanza kuishiwa sera nini?tuambie bwana..mdau norway

    ReplyDelete
  4. wee misupu usipo tajwa jina kwenye maoni unabana kulikoni? umenibania jibaba kwa muda mrefusana! kwanza namtafuta allan matravota a.k.a mpelu..e/gauo! ajitokeze,na wazee wakazi akina S.dolongo,bonge[G.kingwe],C.sasi&A.mbwasi !!hahaha nawakilisha tu!
    bana nahii tena!

    ReplyDelete
  5. wewe wa norway ukiona hivyo jua amebanwa nakazi nyingine maana unavyo lalamika utadhani unamlipa nahisi hayo mabox kama yana wachanganya?

    ReplyDelete
  6. Kazi unajipa nyingi kuliko unavyoweza misupu. Nipe mimi kazi ya kuchuja maoni niwe nakusaidia kusoma wewe concentrate na kutafuta habari mpya. Mabwege wote wanaojaza ujinga kwenye maoni ntawastoppisha.

    ReplyDelete
  7. Sasa KP ukiwekewa hiyo picha ya kininja utaionaje? Wewe umekalisha nyuma ya hiyo mnayoiita video. Ushamba 2.

    ReplyDelete
  8. Samahani Wadau Ile Mada ya chini Kuhusu ZANZIBAR IKO KENYA nimeweka maoni hapa najaribu kuwafahamisha vizuri watu Jamani Someni Vizuri.

    wamesema Week ya Pili ndio kaenda Zanzibar na vipi kafika Zanzibar? Wameonesha hiyo ni Travel Agency tu wenyewe Wanamalizana ushuru na Tanzania Pengine, naukitizama Kuhusu Zanzibar na Hiyo Hotel Wameweka Website yao Ambayo wakiingia wanajuwa kabisa kama Zanzibar Iko wapi. hiyo chini.

    Breezes Beach, Zanzibar (www.breezes-zanzibar.com)

    Kilimanjaro sasa, wanaosema Kenya wanatangazia Kilimanjaro ni yao wanapoteza mda wao, hata wakitangazia basi ni nje ya Border yao Kusema Mlima Kilimanjaro ule wetu. Kuupanda hawatoweza mpaka wawe ndani ya Tanzania na kileleni juu kabisa kule kuna Bango kubwa la UHURU Tanzania.

    ReplyDelete
  9. Hello Bro!
    Naomba kuanzisha mada mpya!

    UFISADI waingizwa kwenye vitabu vya dini kuwa ni moja ya dhambi.
    Soma http://news.bbc.co.uk/2/hi/europe/7287071.stm

    Kuna na dhambi nyingine,wana blogu mnalionaje hili?? au kuna ambazo zimesahaulika

    ReplyDelete
  10. Hahahah,KP umenikumbusha mbali!!mwalimu anafundisha this is a door,wakati anaonyesha dirisha! wakina kanumba tutafika kweli???????

    ReplyDelete
  11. Mimi nafikiri KP anataka kuonyesha tu kwamba hali huwaje wakati MAENDELEO yanapokuja kabla ya USTAARABU. Jamii ya watz kwa kweli bado tuko nyuma kwa mambo mengi ya kimaendeleo.
    Mfano mmoja tu ni kama pale maeneo ya Ubungo palipowekwa mapipa ya taka. Mapipa yale yana sehemu tofauti kwa ajili ya aina totauti ya taka. Sasa utashangaa mahali panapotakiwa kuwekwa taka za plastiki watu wanaweka hadi mabaki ya matunda, magunzi ya mahindi nk.
    Mendeleo yamekuja kabla ya ustaarabu!

    ReplyDelete
  12. Ukubwa wa Pua siyo wingi wa Kamasi!Michuzi na Kp itabidi mtuvumilie tu.Watanzania tuna tatizo moja.Foolish Pride!Tunajifanya Tunajua sana wakati hatujui kitu.Hatutaki kuwa Wadadisi wa mambo lakini ni wepesi sana wa kudakia mambo.Tunapenda sana kutukuzwa na kumwagiwa sifa bila stahili au kuzifanyia kazi.Wengi hukurupuka tu kutoa maoni yao kuhusu picha zilizotundikwa na Michu bila hata ya kuzichunguza kwa kina zaidi na kubaini kilichofichika ndani ya picha hizo(photo journalistic interpretetion skills).Wengine huanza kutoa tafsiri mbovu au potofu au zilizo nje kabisa ya mstari kuhusu Cartoon zilizobandikwa na Kp bila hata ya kuzifanyia kazi na kubaini zina mantiki gani.Hapa kuna mwenzetu mwingine aliyekurupuka na kuanza kushutumu bila hata ya sababu yoyote ya msingi kuhusu Tour Operator wa Kenya aliyeipachika Zanzibar katika Tourist Package yake aliyokuwa akiiuza kwa Watalii wa Uingereza.Kuna tatizo gani hapo?Tungepaswa kumshukuru huyu Tour Operator wa Kenya in the first place hata kwa kiasi hicho tu cha kuitangaza Zanzibar.Mtalii atakuwa mjinga wakati wa kuja tu.Akirudi kwao siyo mjinga tena.Atakuwa kesha tambua Zanzibar iko wapi kijiografia hata kama awali alidanganywa kwamba iko nchini Kenya.Sisi wenyewe tumeitangaza Zanzibar wapi na lini?Baraka ya kupiga kelele tu na kulalamika!Lazima nikiri kwamba haya yanayo tokea sasa ni matokeo ya msingi duni na dhaifu wa makuzi ya kibiashara(business culture,attitudes,thinking and way of life)yaliyo pandikizwa kwa vijana wetu.Vijana wetu lazima watambue kwanza kwamba tatizo hilo lipo.Pili,wakubali kwamba lazima lipigwe vita kwa njia zozote zile.Tatu,wadhamirie kuleta mageuzi ya kifikra na kuanza kuchukua hatua za kubadilika kimawazo na kiutendaji.Tukubali kwamba Taasisi za kuleta mageuzi na mabadiliko hayo kwa sasa hazipo.Zilizopo zina kiwango duni sana.Na Serikali kama vile haipo imekuwa baridi sana katika kuendeleza sekta na bishara ya utalii ulimwenguni.Wenzetu wanajitangaza bila kuchoka katika vyombo vya habari vya kimataifa kama vile CNN,BBC na SKYNEWS.Mvi zimeanza kunitoka kichwani sijapata kuliona hata siku moja tangazo katika CNN kwa mfano la kusifia Mlima Kilimanjaro,au visiwa vya Zanzibar au mbuga zetu za kitalii za Serengeti na nyinginezo!Wenzetu watakapo CAPITALISE ON OUR FOOLISH PRIDE tusipige kelele!Iwe changamoto kwetu tukubali kubadilika kwa kupiga vita ubinafsi wa kitaasisi kwa maslahi binafsi ya wale walioko madarakani!Hapa Kipanya kaonyesha Mwalimu akileta TV ndani ya darasa watoto wakiwa bado wanasomea chini kwenye sakafu,mashati yao yakiwa na viraka kuashiria nguo chakavu na hali duni ya maisha.Utajiuliza hapo kweli TUNA VIPAU MBELE katika mipangilio yetu iwe mashuleni au katika miradi mingine ya kijamii?Au bora liende!

    ReplyDelete
  13. Kaka Michuzi tupe mpya basi au umeishiwa kama BOT?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...