

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh! Majina mengine yanashitua! unajua nilipoona hilo jina juu ya picha nilishastuka kwamba nini tena kimetokea! kusoma maelezo kumbe ni jina la mtu!
ReplyDeleteWee eugen ungekuwa kama Dada yako batilda ungekuwa mbali sana anyway I still respect you as long as you take good care of my cuz
ReplyDeleteMichuzi... Jina hilo tafadhali... limetushtua wengine...
ReplyDeleteHivi ni buriani au baruani hebu tufafanulie tafadhal. michuzi sasa umezidi ishaanza kuwa mno hebu kapime macho
ReplyDeleteDuh haki we misupu, hiyo heading hapo juu, walah nilidhani tuna msiba mwingine tena, kuumbe ni jina la mweshimiwa...........ok
ReplyDeleteprof migiro, kaka michuzi naona naye anajitahidi, hivi ni professa wa nini, nani ana haabri.
ReplyDeleteMigiro ni profesa wa uhandisi UD, sina uhakika kama bado yupo UD au la
ReplyDeleteKaka michuzi, unaweza kutuletea habari za Daktari wa kwanza mwanamke katika historia ya Tanzania kushika nafasi za daktari mkuu wa mkoa,wilaya kwani kuna mwanamama anaandika history za nchi za afrika na maendeleo ya akina mama kwenye ngazi za afya na maendeleo ya jamii...au kama kuna mdau anazo atushushie
ReplyDelete