AH! SIE TUSHAZOEA KUPIGA WATU 4 x 4 x FAR...HIVYO HATUPIGI MAKELELE KAMA NANIHII WA JADI WETU AMBAO TUWILI TU INAKUWA NONGWA....
Home
Unlabelled
BWAWA OYE!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mmezoea wapi? mngekuwa kileleni kwenye ligi kuu basi!!!!!!!nyinyi mdebwedo tu!!!
ReplyDeleteKama huwa hampigi kelele je hapo unafanya nini? watu wengine bwana!!! Siku mkiifunga machester ndo uje hapa kutuimbia, sio lesser teams kama west ham au boro.
ReplyDeleteHamna lolote!
ReplyDeleteMichuzi sikuelewi wewe ni shabiki,mpenzi au mwanachama wa bwawa la maini acha hizo usiwe ka DR.Licky wa ch10 na uchambuzi wake wa kuwapuuza imarat kila wakati
ReplyDeleteBro, Michu, nafikili kwa kupiga hizo 4 mtakuwa mpo kileleni mwa ligi.
ReplyDeletewe piga kelele weeee, lakini ujue mwakani championi league mtakuwa washabiki tu. Anza kuchagua timu ya kuishangilia, evaton au A-villa?
ReplyDeleteMichuzi hao Imarati na Manyu dawa yao imeanza kuchemka jikoni. Subiri tuwamalize Inter wiki ijayo - tukirudi dozi itaendelea kwa mpigo maana tunakumbana nao katika wiki mfululizo. Si umeona El Nino anavyotetemesha?
ReplyDeleteNa kweli ndio maana hamuishi kuwa wa 4.Inaonekana hiyo namba 4 mna bahati nayo sana.Lengo ni kuwa bingwa sio kuwa 4.Blues waliwapiga hao 4 tena kwao sioni kitu cha kujisifia.
ReplyDeleteMbona wazee wa darajani unatubania? Rusha flag yetu tulivyowatumbuiza mabaharia wa Odyssey
ReplyDeletetuwekeee walau mabao anavyofunga huyo tores
ReplyDeleteTunawasubilia hiyo jumanne uko Italia na mkitoka tu,mnapangiwa MAn U,safari yenu kwiiiisha,na uko home position 4 anatwaa Everton safari hii nyie kwenye kombe la uefa tu.Najua sana unaombea wakutane na waturuki mchekea,hamna nafasi hiyo.
ReplyDeleteSan Siro inakusubirini, inshaallah mungu atakujaalieni mupite, Shenzi nyie!
ReplyDeletemichuzi acha hizo kuwafunga vibonde imekuwa nongwa ngoja ukutane na wapiga soka eg, imarati,Man utatia akili na kuacha ngenga ,acha kuchonga wewe kwa goli za mdondo
ReplyDelete