Home
Unlabelled
splendid theatre
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongereni sana wadogo zangu lakini kumbukeni umuhimu wa shule kwanza, ngoma baadae, au vipi?
ReplyDeleteBro Michu usinitie kapuni...na wadau msininange...najaribu kuangalia kwa upeo tofauti kidogo hapa!
ReplyDeleteSitaki kusema hii ni child labour, sitaki kumtusi Mama yetu wa Makumbusho Cultural Centre kwa kazi nzuri so far...ila nadhani kuna njia mbadala ya kufanikisha kinachoendelea Makumbusho bila ya kuwa na watoto ambao wanatakiwa wawe wanafanya homework zao na kupumzika kwa ajili ya shule.
Najua wanakuza kipaji, wanajipatia senti kwa ajili ya kujikimu especially pale ambapo familia zao hazina uwezo sana, lakini I stand to be corrected... They shouldnt be there.
Mazingira ya club zinapopigwa ngwasuma na taarab na dansi si mazurikwa watoto wetu kuwapo usiku/jioni. Wote tunajua matokeo yake.
No offense hapa, no playahatin hapa, its the reality. Basi kama vipi watumike wasanii nguli ambao umri unaruhusu, nadhani wapo wengi Dar sio? Wadau nielimisheni hapa, au akili zangu hazina akili?
Ni kweli kabisaaa, SHULE kwanza ngoma baadaye. Hizi ngoma zina mwisho wake jamani......
ReplyDeleteUkisema hawa watoto shoo zao ziwe zinaishia saa kumi na mbili jioni ili warudi nyumbani mapema wakendelee na mambo mengine hapo nitakusikia.Vipaji vya sanaa vinahitaji kukuzwa na kulelewa toka utotoni huku wakifundishwa maadili mema na changamoto inayowakabili katika maisha.Kwamba bila ya shule huko mbeleni hata huo usanii wao hautalipa.Ikiwezekana wafanyiwe mpango wa kujiunga na shule za juu zaidi zenye michepuo(specialisation) ya Sanaa za aina mbalimbali ili vipaji vyao visipotee bure.Sikubaliani na utumikishwaji wa watoto kwa ujira wa kitumwa kumnufaisha tajiri.Hilo sidhani kama ndilo linalo tendeka.Tunazo taasisi zinazoweza kutafiti na kubaini kasoro hizo.Lakini tusijiingize katika malumbano yasiyo na maana ambayo yataweza kumkatisha tamaa huyo aliye jitolea kuwaendeleza vijana hao na pia tusije tuka watibua hawa vijana wakaichukia sanaa na kuiona ni kazi ya kihuni.Tuwe waangalifu na makini kidogo.Ahsanteni kwa kunisikiliza.
ReplyDelete