Meneja wa Huduma wa Jamii wa Celtel Tanzania, Tunu Towo, akizungumza na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki, baada ya kampuni hiyo kuzungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam waliojitokeza katika hafla ambayo makampuni mbalimbali yalijitokeza kueleza shughuli zao na jinsi wanafunzi hao wanavyoweza kupata ajira watakapomaliza masomo yao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hongera Tunu kwa harusi nzuri. Kila la kheri

    ReplyDelete
  2. Dah Simchezo huko bongo siku hizi kuna vitu. kweli home sweet home. Bahati mbaya vizuri havikai siku hizi kama mdau hapo juu anavyompa hongera kwa harusi nzuri ina maana wameshamuwahi. No sweat vile vinavyozaliwa navyo ni vingi, Achatujipe moyo kwamba siku tutakayoamua kurudi home bado tutavikuta tu!

    ReplyDelete
  3. HONGERA MRS TUNU KAVISHE,UMEPIGA BAO SI MCHEZO...A HANA LAKE TENA HAPO,TEHE TEHEEEE..

    ReplyDelete
  4. kila la kheri mamaa,umefungua njia wadogo zako wa boston tutafuata

    ReplyDelete
  5. umependeza mara hii?kweli ndoa tamu
    wenye wivu wanywe sumu

    ReplyDelete
  6. Tunu You are a shining star hongera sana all the best you have a bright future ahead of you

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...