Home
Unlabelled
choki na werrason
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Komba wewe bwana kazi yako kuchukua wanamuziki na kuwapotezea vipaji wasisikike kabisa , wako wapi akina Kocha wa Ulimwengu ,Mwinjuma Mumin,Badi Bakule , Toka wahamie TOT ..hatuwasikii kabisa ,hakuna mtu aliyetamba wakati muziki wa Dansi unarudi kwenye chati kama Mumin, lakini komba umemmaliza ,sasa na wewe ALICHOKI KUHAMAMA angalia usije ukapotea bado tunakuhitaji...vile vile mimi kila likizo nikienda DAR . sijaona hata siku moja Onyesho la TOT dansi kama vile TWANGA ., FM , au hiyo bendi ni kwa ajili ya kampeni za chama tuu...
ReplyDeleteDuu Choki nimekukulani u mfupi mzee yaani nusu ya Werrason
ReplyDeleteMimi naungana na Mtoa maoni wa kwanza yaani TOT ndio ehemu ya kupotezea vipaji vya wasanii sasa hizi tamaa za Ally Choki kuhama hama kwa kuona pesa za mkupuo zinaweza kukuharibia maisha yako kwa sababu sidhani kama leo ukitoka tena huko Asha Baraka atakupokea tena labda urudi ukalime au ujiunga na taarabu ni maoni tu ila mwana maendeleo yanapatikana kwa kutulia sehemu moja si kuhama hama Take care
katochi)
Huyu bwana anapozi huyu check hapo utadhani Werason ndio kaomba kupiga naye picha!!!
ReplyDeleteHaya bwana kila la heri!
hivi wanenguaji wamekosa bongo mpk wanaenda kutafuta congo? mnawapa ulaji wakongo baada ya kusaidiana nyie na wabongo wenzenu,wat a shame
ReplyDelete