Home
Unlabelled
deutche welle iko gado
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera DW kwa huduma nzuri...ushahuri wangu kwenu niombi la kufunguwa studio eneo la maziwa makuu...jamani ndani ya miaka 45 hamna studio yeyote eneo hili?? Hapo ndio BBC wanapowapigia bao...sio wabahili..budget yao ni ndefu na wanastudio kila kona ya pembe ya maziwa makuu.
ReplyDeleteHongera mama oumilkheir kwa sauti yako ya kuvutia wakati unapotangaza. Mimi binafsi nilikuwa nawaza kwamba wewe ni mzungu na sikujua kama wewe ni mweusi kama mimi. Binafsi huwa nafurahishwa na jinsi unavyotamka maneno wakati wa kusoma habari. Ulijifunzia wapi huo utaalam wako? Endelea hivyo hivyo mama, wanao tunakufagilia sana
ReplyDeleteyaani nimefurahi sana kuona picha ya umilkheir....maana napenda sana utangazaji wake...na kutokana na kuwa na sauti nzito marafiki zangu wengi walikuwa wanafikiri kwamba ni mwanaume ila kwa kujua kwangu kiarabu nikawa najua maana ya hilo jina la ummylkheir nikawa ninawaambia maana yake ni mama wa kheri...nimefurahi sana kuona picha yake and tell her am her number one fan.Allah akupe akupe maisha marefu Ummylkheir labda nikija Germany kutembea nikutane nawe ili nipate kupiga picha na wewe.Je kutembelea hicho kituo ni free au mpaka uandike maombi?
ReplyDeleteMdau Sweden.
Asante Michizi kwa kutupa Picha za hao wakogwe wa utangazaji wa Sauti Ya Ujerumani maana mi tngu nikiwa mdogo namskia Athman Miraji na Oumilkhel,na picha yao ya Mwisho niliona mwaka 1991 sasa naina wamenenepa na kuzeeka,Vipi yule wa Kipindi cha Michezo hukuonana nae?tupe picha yake kama unayo.Na Fulana....
ReplyDeleteBwana michuzi nakuomba ilo tangazo langu la shughuli ya ngoma uliposti kama tangazo na wala siyo kama comment. Sina utaalamu wa kuposti moja kwa moja ndo maana nikapitisha kama maoni. Asante.
ReplyDeleteBwana Kilemela hapa, London, UK.
michuzi utakaa kijijini kwetu mpaka lini?
ReplyDeletena huyo dada Janeth wa Karlsruhe anapatikanaje?
tunakukaribisha sana kwetu Baden Baden
Michuzi naona hiyo fulana ina irizi sio utani!!haiwezekani kabisa ukawa unaivaa tuu!!ni wablog wangapi tanzania hawakupata nafasi ya kwenye ujerumani wewe umechaguliwa??achana na ushirikina michuzi
ReplyDeleteNguo ya bahati.......
ReplyDeleteNDIO BABAKE LEO TUMEKAONA KAFULANA KAMERUDI MAUNGONI, SIJUI NI KAPYA HAKA AU????????????/, MICHUZI NINI SIRI YA HAKO KAFULANA KAKO??!!!!!!!!!.
ReplyDeleteMDAU HUKUHUHKU ULIKO.
Nashukuru sana Bro. Michu kutuletea picha hasa ya huyu mama Ummul- Kheri (mama wa kheri). Nikimsikia redioni tu huyu mama, ila sauti yake iliyojaa vionjo na madaha ya kiume ndiyo iliyonifanya nimfurahie zaidi pale anapokuwa anawakilisha habari na kuwa makini na kuweka msisitizo pale panapotakiwa. Ukweli ananifurahisha sana anapotagaza.
ReplyDeleteMichu,
ReplyDeleteNi mimi tu ninayeona hili, mbona watangazaji wote ni WAISLAMU TU, AU NDIYO TICKET YENYEWE HIYO!!!!
DW nawafagilia sana kwa matumizi mazuri ya lugha yetu adhimu ya kiswahili...watangazaji wamekomaa, hawachapii chapii kama wa redio nyingine...taarifa zao za habari na ripoti nyingine wanaziandaa kwa kina na wanazisoma kwa tuo...mamaa Ummylkher, unanikosha sana tangu nikiwa mdogo hadi sasa nazeeka bado unatisha kwenye utangazaji!
ReplyDeletemdau wa baden baden tuwasiliane.....
mdau, Germany
We Michu inaonekana unawashwa sana na mikono. Ipo siku itakuja kukuletea zali, shauri yako!
ReplyDeleteAsante sana kutuma picha hizi. Kumbe DW bado inaendelea?
ReplyDeleteMama Lao
UK
huyo mama mdogo nani?nii mbona yuko
ReplyDeletehoi!ameshapima huyo?
Uislam na uzanzibar ndio tiketi ya kujiunga na DW!kama kiswahili chako
ReplyDeleteni cha cheche unakaribishwa
lakini kama una kiswahili cha kusema wanakwendaga!badala ya nenda!hapa una chako.
Jamani kweli?kama alivyo uliza mdau hapo juu?na mimi swali langu hilo hilo!vipi Mama mdogo? umepima
ReplyDeleteZe ngoma? jarubu kupima maana huko majuu uduma nje nje,ukipima unyonge
ulikuwa nao utakutoka.
na kama ulikuwa na wateja wengi siku za nyuma bora kapime
Michuzi huyo unayemwita Alex Mwakideo siye! Huyo ni ndugu Josephat Charo!
ReplyDelete