tuko na dj meb (raba nyeupe) aliyetamba sana enzi hizo kule africana kabla ya kujichovya kwenye mambo ya tv akwia mmoja wa waanzilishi wa dtv na channel 10 kabla ya kwenda ughaibuni. sasa amerudi kucheki zari na aliyoyaona yemempendeza. mwenye pensi nyanya ni anwar na mwenye fulana nyeusi ni ali oki mwasisi wa kipindi cha kiti moto enzi zileeee...

Fulana sijaiona siku mbili tatu hizi sijui wamekuibia? Nimeanza kuimiss
ReplyDeleteWabongo rudini nyumbani si mnaona wenzenu hao. Bongo kunalipa au mnasemaje?
ReplyDeleteMbona hujamalizia utambulisho?Na huyo wa kulia kabisa (kushoto kwako Michuzi)
ReplyDeleteNIMEMISS SURA ZA WAARABU WA BONGO WANAITWA WAGUNYA KULE KWETU TANGA.
ReplyDeleteNina hamu sana na Madafu wajameni.
ReplyDeletekuro kapeto bana!!!
ReplyDeleteHapo ni Ilala Mtaa wa Mwanza?
ReplyDeleteHuyo kulia ni Dj madaaaf squasher wa disco vumbi la Nsangangongele....ndugu zangu wazaramo wanajua hili.....luv tu madafuuuzzzz a.k.a tha bongo shilings
ReplyDeletemuzee ya mujini...
Kweli michu hivi kile kipindi cha kiti moto kilikuaje kikatoweka unajua kilikua kinasaidia sana hawa waborongaji wa mambo, nakumbuka kipindi kile na pascal Mayala nae alikua mtangazaji Mh. kapuya aliambiwa ajipuye pamoja na wenzie waliochemsha kipindi kile Wizara ya elimu Palikua hapatoshi kwa madongo yaliyotolewa, watu walimalizia kiu na vilio vyao hapo.
ReplyDeletemichuzi nitumie namba ya huyo muasisi wa kiti moto nataka akirudishe wako jamaa wengi wa kuwekwa kiti moto lakini naskia huyu jamaa amekuwa muoga sana kwani nakumbuka niliwahi kusoma makala moja akisema anataka kukirudisha sasa anaogopa nini au na yeye yumo kwenye rrrrr?????????
ReplyDelete