Home
Unlabelled
hamna noma wala nini....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nimevutiwa sana na picha hiyo hapo! imenionyesha kuwa we africans realy have something to be proud of! tunao watu wanautambua na kuheshimu milla na tamaduni zetu, hata ktk nyanja na madaraka yoyote wanayokuwa nayo! Zuma ni miongoni mwao, tunashuhudia mapinduzi ya kweli kifikra, kiutendaji na demokrasia pevu inaoendelea africa kusini! Mbeki anapigwa chini baada ya kukumbatia tabaka la wachache lenye harufu ya udhalimu na watu wameliona hilo wameamua kufanya mabadiliko, japo kumekuwa na siasa za kumpaka matope Zuma lakini naamini katu hazitafua dafu ktk demokrasia ya kweli yenye kuleta aendeleo chanya. big lesson eac`s have to learnt not from westen c` but within the same continent.
ReplyDeleteWAJE HAPA WAONE JINSI BONGO FLAVA UTAMADUNI WETU TUNAVYOUDUMISHA NA KUUKUZA!
ReplyDelete...waheshimiwa wetu hawathubutu kutoka nje ya suti zao!!! teh teh.
ReplyDelete