nyota wa mpira wa kikapu hasheem thabeet anaendelea kutesa vilivyo huko marekani kiasi hata gazeti la new york times limempa shavu isivyo kawaida leo. mengi zaidi bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hasheem,keep it up bana. ...achana na story za kupokelewa wa watu lukuki Dar .
    kitu muhimu unatakiwa kuongeza juhudi ktk mazoezi, vitu vingine vitafuata mkondo vyenyewe .

    ReplyDelete
  2. Big-up bro tunayafurahia mafinikio yako na tunazidi kukuombea ufike juu zaidi

    ReplyDelete
  3. Naomba kutoka nje ya topic.
    Michuzi naomba habari za mlima Oldoinyo El Lengai, Ngorongoro. Na matokeo ya Killi Marathon.

    ReplyDelete
  4. inafurahisha kusikia kwamba Hasheem anafanya mazoezi na Hakeem Olajuwan.

    hasheem ahakikishe anatumia muda wa summer vizuri. hata safari ya nyumbani ni bora akaahirisha. itakuwa vema kama atajifua tena chini ya uangalizi wa Hakeem Olajuwan.

    hakuna mchezaji anayezingatia mazoezi na maadili kama kobe bryant. hasheem afuate mfano wa kobe bryant.

    ReplyDelete
  5. Bro Michu, najua tumechelewa flani, its already overdue kuji-market kimichezo kama waTanzania but still huu ni ukweli kutoka moyoni kwangu.

    Every time I see media reports about how Hasheem Thabeet anafanya mambo huko maUSA, I feel proudest being a Tanzanian, as far as basketball is concerned. I feel like someone and I can say something kwenye maskani zetu za kispoti,si unajua mambo ya kubishana who is bad na nini...

    Anyways,naomba msinidiscredit kwa kuchanganya viluga hapa...sio ishu.

    Hasheem represent my man, do your thing to the fullest. Open 'em doors and let our boys and gals get to that land of milk and honey and start a sort of Bongo revolution from NBA, MLS to even Hollywood sio mbaya. Im proud jama, let it be open.

    Ombi Bro Michu: please do some follow up ya huyu jamaa and be the first to update Bongo regularly, coz media zetu za kispoti zimedumaa kiasi wanafikiri kukopi international sport news ndio issue day in day out! Bro Michu show the way pleease (as always)...

    I will be emailing you details za progress yake na wengine kama kina Haniu Maine whenever I get update kutoka sehemu sehem.

    Mimi Mbongo king'ang'anizi to the fullest! Peace.

    ReplyDelete
  6. Mtanzania number one!

    ReplyDelete
  7. Hasheem
    endelea kufanya mazoezi. Naona kikapu kinaanza kuja. Usikimbilie NBA, subiri ukomae kabisa hasa katika offeense. Ukiwahi kuingia utasugua sana benchi.
    Otherwise kazi nzuri.

    ReplyDelete
  8. YAAAAAAAAAP ..AMINIA MY BRO..MIMI BLOOD SISTER WAKO FROM ZENJI NAKUMINDI KINOMA HASA NILIONA KIPAJI CHAKO TANGU PALE HOME TOGETHER AREA C DODOMA..KEEP IT UP ILA HOME MUHIM USIFUATE WANOSEMA USIJE TZ.. MUHIMU NI PIGA ZOEZI KAZA BUT NBA ITAJILETA YENYEWE BADAE KIULAINI..HATA MDOGO WAKO AKA AY..ANAJUA JUZI NILIKUWA NAE DAR NA MAZEI BIG UP MTU WETU..MR MICHUZI PLS USISAHAU KUTUUPDATE KILA MARA MTZ WETU ANATISHAAAAAAAAA USA GOD BLESS HIM..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...