bondia wa kimataifa wa zamani koba kimanga 'assossa' akimpongeza francis cheka aliyemtoa kwa KO hassan matumla juzi na kutwaa ubingwa wa dunia wa universal boxing association ukumbi wa diamond jubilee. assossa anatembelea magongo kwani bado anatibiwa jeraha la risasi aliyojipiga kwa bahati mbaya wakati akifukuza vibaka maeneo ya bustani ya mnazi mmoja gadeni. yeye ni askari kanzu wa polisi wa siku nyingi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kaka Koba pole sana na ajali iliyokukuta ,Ishaalah mungu atakusaidia utapona haraka.
    Mdogo wako
    KT ( JAPAN )

    Kaka MiCHUZI hii ni pole tu haina majungu wala nini usiibanie!!!!

    ReplyDelete
  2. Nasikia Tysoni anatafuta mshindani,Yakhe uko tayari???lakini hifadhi hayo masikio!!!

    ReplyDelete
  3. michuzi samahani labda unaweza kutusaidia sisi tulio mbali na wapenzi wa ngumi, tufanyeje ili tuweze kuziona hizo ngumi za nyumabani hata zilizorekodiwa????

    ReplyDelete
  4. Man,I salute you.
    Lakini ugomvi wenu uishie jukwaani tuuuuuu!na sio kwingineko.Ila nampa changamoto huyu jamaa kusonga mbele kwenye levo za kimataifa zaidi na zaidi.
    Mchangiaji,
    Mbeya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...