Home
Unlabelled
sangara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MUNGUWEEEEE JAMANI SAMAKI ANANITOA ROHOO MIE NADHANI NINGEKUWA TANZANIA NINGEKUWA NASHINDA KWENYE MAHOTELI KULA KULA TU KWELI TUMBA ALINA ADABU YAANI NATAMANI MPAKA NASIKIA UCHUNGU NINEPATA HUYO SAMAKI NA BAMIA PEMBENI NA UGALI AU WALI MKAVU NA TEMBELE NINGEKULA MPAKA NIPOTEZE FAHAMU
ReplyDeleteKaka MIKACHUMBALI hiyo kaka!
ReplyDeleteTAIFODI hiyo kaka! Ohooo! Shauri zako
Kaka hii sasa ni tabie mbaya unajua kabisa vitu kama hivyo ni adimu unatuwekea sawa bwana !
ReplyDeletehuyo sio sangara ni Sato!!!
ReplyDeleteSasa wali au ubwabwa uko wapi???wala chipsi yaani wabeba maboksi kule ughaibuni nasikia hizo samaki kwenu chakula barafu!!!
ReplyDeleteSAHIHISHO, kiswahili sanifu ni huyu samaki, ama hawa samaki .
ReplyDeleteHizo samaki ni kilugha chenu au ?
michuzi kama humjui sangara bora kuhuliza kuliko kuandika mimi kuwa huku napiga box sio kwamba nimesahau sangara namjua vizuri maana nimezaliwa rock city
ReplyDeleteISATU ITALI ICHENGU!
ReplyDeleteSATO(Tilapia) si SANGALA (Nile perch au Lates niloticus)
Wala vumbi mtaishia kuona tu, huo msosi hapao umepigwa picha kwenye hotli ya kitalii na watalii pamoja na wabeba boksi tukija ndio maene yetu ya kupumzika huko, mtaishia kutesa na mapanki tu pamoja na dagaa nchumari!
ReplyDeletesangara wa bongooooo anavutia lakini mbona mdogo hivyo...Ninajua samaki huyo mkubwa sana..huku shurti kwa fillet
ReplyDeletehuyo ni SATO siyo SANGARA. msosi kama huu unapatikana hapa washington DC, Safari on Georgia Avenue kwa siye wabeba box.
ReplyDeleteTena tatoka udelele (udenda)kwa sana tu na bado , bro michu uje uweke ugali wa motoooo mweupeee ulochangwaywa na udaga na mboga za majani zilizopikwa kwa malai(cream ya maziwa) kachumbari ya ngogwe (nyanya chungu) kisha na huyo sato au sangara wa kuchoma ndo watakaposema kwa sana.
ReplyDeletePlease note that that is NOT sangara but the famous sato/satu or tilapia. Further, for the sake of health eating - we Musomaians, Mwanzans and the like grew up eating boiled and unspiced fish and not like the Dar Es Salaamite menu shown here...
ReplyDeletewhatever itavokuwa samaki ni babaye kibua na kibua ni kakaye dagaa, hivo wote ni watamu tu. whether wakikata mapanki au kipara....mmmmh samani eee! mate yanitoka!
ReplyDeleteHiyo picha unaweza kuitumia kula ugali, unavuta hisia halafu unakandamiza ki-imagination!!!!...imetulia
ReplyDeletewe anon wa 4 mar, 2:23 usituletee hadithi za abunuasi kula ugali na kulumangia harufu ya jirani nyie ndo wale wa lotion.
ReplyDeleteYAANI SIJAPATA USINGIZI VIZURI KISA HUYU SAMAKI NIMEMUWAZA SANA NIMEONA NGOJA NICHUKUE DAY OFF NEXT WEEKEND NIMPIKE KISAWASAWA ALTHOUGH ATAKUWA KAMA WABONGO LAKINI ANGALAU NITAKUWA NIMETOA HII TAMAA ILIYONIJAA TANGIA SANA DUU
ReplyDeleteOops! Natamani ningekuwa na ugali mkavu niendelee hapahapa ... kula kwa picha. Ebo!
ReplyDelete