jack pemba (pili shoto) akiwa na hassan moshi william (shoto), mdau na ben kinyaia usiku kuamkia leo tcc club chmang'ombe kwenye twanga pepeta


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. nimefurahi kumuona jack karudi home, lakini mbona habebani na my wife wake wa kitasha?? anti sijui nani yule my girlfriend yake yupo!!

    ReplyDelete
  2. Karibu Jack Pemba a true bongo c elebrity naona umependeza kweli kaka + kaka Ben na wenzake ,sasa magazeti ya bongo yanajiandaa kuanza kuuza NAKALA ZA KUTOSHA kwani to be honest habari zako zinauzika jack kwa uzoefu wangu meza za magazeti ya udaku zitaanza kujaa wanunuzi wa magazeti kuona JP kafanya nini kamua bro respect shida chini mikono juu mkubwa JP,tunia pakkei ikuzoee,pesa boyee pesa bijuu,pesa ndo heshima ya mtu kwani kibongo bongo ndo inaleta utu,

    ReplyDelete
  3. NILISIKIA JAMAA KAMUOA DADA YAKE BECHAM AMEKUJA NAYE BONGO?

    ReplyDelete
  4. Anon 1:26, mzungu wa Jack si anakaa mtaa wa kina Beckam, na si unajua tandale wote si kama kaka na dada tuu , so jamaa akakonkludi juukwajuuu!!

    Dada wa Becks unafanya masihara nini!!!

    ReplyDelete
  5. halafu jack pemba wadau si anafanana na celebrity chibiriti au nimekosea wadau sijui kufananisha....

    ReplyDelete
  6. Hivi huyo JACK PEMBA NI NANI MAANA NASIKIAGA JINA LAKE TU MBONA KAMA NI MTU WA KAWAIDA NDIO YUPI HAPO SASA

    ReplyDelete
  7. mie nauliza huyo wa pili toka kwa kinyaiya ndio jinma lake mdau...!!? michuzi tutonye vizuri bwanaaa

    ReplyDelete
  8. huyo jack unguja ana mpya gani maana nilisikia wazee wa mjini(mapendeshee) walimuumiza akawa choka mbaya matanuzi yakaisha kabisa yangu macho bwana hii ndio bongo tambarare

    mizizi

    ReplyDelete
  9. Aaah uyo Jack Unguja hana lolote sasaivi, kachoka mbaya wajameni ila huyo Ben Kinyaiya kwa hapa Bongo sio siri mshkaji ana kipaji cha utangazaji jamani tumpe hongera zake 2, maana ANATISHA!

    ReplyDelete
  10. Jack pemba mwisho nyinyi vijana, mnamjaji mtu bila kuona haibu kuwa hamumjui afu mnaendelea tu. Njooni kampala Kampala international University Tanzanian Student's Association (kiutasa) huku mufahamishwe kuwa jamaa ni noma, mnaongelea visenti sie twaona midola!!! Kalagabhao!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...