Unaweza kusikiliza hotuba ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bw. Pius Msekwa kupitia http://www.klnews.com kwenye eneo la "Podcast" na unaweza kutoa maoni yako.

Title: KLH News Episode: Exclusive Report: Msikilize Msekwa akitoa tamko la NEC Butiama

http://mwanakijiji.podOmatic.com/entry/eg/2008-03-30T19_08_04-07_00
Enjoy!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Sikuridhishwa na hotuba ile.'It was a GRAND TIME WASTER'.Haikukidhi hoja ya Fukuto la Kisiasa hapa nchini kwa hivi sasa.Ni Hotuba iliyo piga chenga masuala ya kimsingi na nyeti ambayo yalihitaji Tamko lililojitosheleza na ambalo lingesaidia katika kutatua masuala mbalimbali ya kisiasa ambayo bado hayaja patiwa majibu hadi sasa.Hapakuwa na sababu ya kuendelea kupiga chenga katika suala la Zanzibar.Sisi tumejifanya mahodari sana wa kusuluhisha migogoro ya wenzetu lakini yanapo kuja matatizo ya kwetu sisi wenyewe tunajikanyaga kanyaga na kuwageuza wengine wote hawana akili isipokuwa 'sisi wateule wachache'.AIBU ILIOJE.Suala la Ufisadi limepewa KISOGO.Hakuna aliyeshangaa kwa kauli ile iliyotolewa.Kumbe Watanzania walitarajia nini tofauti na kile kilicho tamkwa?Tathmini ya kina zaidi bado naifanyia kazi.Labda niwakumbushe wale walioko katika nyadhifa za uongozi iwe katika siasa,elimu hadi makanisani na misikitini kwamba 'Siku zote Mto hutiririka kutoka Mlimani kuelekea Mabondeni na hatimaye Baharini,KAMWE HAITAKUJA TOKEA HATA SIKU MOJA,maji yakatiririka toka baharini kuelekea mlimani'.Historia itakuja wahukumu wale wote wanaofikiria wataweza kubadilisha nguvu za mabadiliko ya nyakati.

    ReplyDelete
  2. HEY COMRADES;

    THESE GUYS ARE JUMPING THE GUN ONCE AGAIN.

    WE NEED TO KNOW MORE ABOUT BOT MONEY, AND THE INFORMATION IS NOT FORTHCOMING,

    1.WHO TOOK THE MONEY?
    2.WHY DID THEY TAKE THE MONEY?
    3.WHY ARE THEY RETURNING THE MONEY NOW?

    4.WHY ARE WE NOT TOLD THE IDENTITY OF THOSE WHO TOOK THE MONEY?

    5.HOW MUCH DID THEY TAKE? AND HOW MUCH THEY HAVE RETURNED?

    ON ZNZ LETS FACE IT CCM WITH MARGINAL LEAD IN THE POLLS IN ZNZ CANT RULE BY THEMSELVES, THEY HAVE TO INVOLVE OTHERS ,
    DOEST REQUIRE NEC MEETING ,? THAT IS TOP LEADERSHIP OF THE COUNTRY IN MUSOMA, HOW MUCH IS SPENT ON THAT MEETING ? BE IT CCM MONEY OR GOVT MONEY IS A WASTE

    ReplyDelete
  3. inakuaje hasa mambo ya zanzibar yakajadiliwe butiama???
    hawa wote hawatoweza kujua wazanzibar wanataka nini ktk maamuzi yao....huyo karume anastand kwa maslahi yake tu hapo...
    waachieni waznz wenyewe ktk maamuzi yao...
    kwanza tanganyika yenyewe ina matatizo tele yanataka watu wasolve na sio mambo ya znz...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...