Home
Unlabelled
kila ijumaa ni siku ya machozi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Definetely hili ni tangazo...swali: Analipia kutangaza ???? au ni janja yake ????
ReplyDeleteMuhidin don't be fooled by this woman,akulipe.This is an advert.Shauri yako,wewe lala tu kama bwege(Usiibane hii tafadhali shehe).
ReplyDeleteWewe anony hapo juu huna cha kuuliza? Ni matangazo mangapi yanawekwa humu mbona ujauliza au una chuki binafsi kakuchukulia nani?Gadna?Jdee mwendo mdundo kaza buti mama siku hazigandi achana na wasiochoka kusema
ReplyDeleteHAYA MICHUZI TUMEONA.
ReplyDeleteMichu matangazo weka kwani wanakusaidia kulipia blog? Jide congrats!
ReplyDeleteMuziki wake sawa unatoa burudani, ila hakuna ulinzi watu wanaingia na silaha ukizingatia jamaa yake mwenyewe Captain G. Habash alikula vibao hadharani wiki iliyoisha kutoka kwa mdau mmoja aliyedai jamaa alitamani mke wake. Wapambe walipotaka kutetea jamaa alichomoa bomba hadharani. wacha wapambe wawe wadogo kama vifungo. mbele ya pistol baba... ni mkuku tu. ya nini tabu ya kutaka usterling wa kihindi kukwepa risasi... mie nawakilisha tu
ReplyDeleteMichuzi haya matangazo hakikisha watu wanakulipa, unapoteza muda wako mwingi sana kwenye kuiendesha hii globu, wakati wewe unahangaika na kifulana chako cha kauka nikuvae wenzio wanatengeneza pesa, shauri lako ni ushauri tu. Hakuna cha bure duniani siku hizi. Waambie wakitaka bure wasubiri ahera
ReplyDeletejamani acheni wivu wa maendeleo,mbona nyie mnaweka picha zenu kwenye blog?mnamlipa michuzi?acheni majungu bwana big up jide..binti machozi!!big up michuzi songa mbele baba na blog ya jamiii
ReplyDeleteLady Jay Dee, ninakufagilia dada yangu hasa kwa wimbo wako wa "SIKU HAZIGANDI".
ReplyDelete(mbarikiwa@gmail.com)
mmmh
ReplyDelete