constantine v. magavilla ni mmoja wa vijana wanaojituma sana bongo kwani licha ya kuwa bosi wa masoko kwenye kampuni ya simu za mikononi ya nanihii, huwa anandika sana na kualikwa kutoa mada sehemu mbalimbali. na hivi sasa kitabu chake kinachohusu maisha na wewe kiko sokoni na kinatoka kama njugu. ukitaka habari zaidi bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. NIMESIKIA HUYU NI KAKA YAKE JOKATE NI KWELI SASA MBONA SURNAME ZAO TOFAUTI MAZEE HIS HOT

    ReplyDelete
  2. hii ni moja ya tabia ambazo sisi wabongo bado tuko nyuma. tabia ya kuandikaandika, tabia ya kufanya mambo kwa maandishi, yaani tabia ya kuweka mawazo yetu kwenye karatasi..

    ReplyDelete
  3. TUMAINI UNIVERSITY - IRINGA PRODUCT. BIG UP COSTANTINE.

    ReplyDelete
  4. Hayo ndo matunda ya St.Anthony's..."CONGRATES CONSTANTINE"...
    Its Flo-UK

    ReplyDelete
  5. Nimekubali haya ndo matunda ya St.Anthony's....Congrats Contantine!!Its Flo-UK

    ReplyDelete
  6. Yes ni kaka wa Jokate,wanatumia majina yao ya pili.Surname yao ni Ndunguru.

    Hongera sana Villa.Mungu akuzidishie.

    ReplyDelete
  7. Ndiyo huyu ni mtu wa kusini maana babu yangu alikuwa anasema kwa kimanda: "Mungu magavila" maana yake ni mpaji Mungu. Nilikuwa sijui kama magavila ina dabo eli.
    Haya bambu Ngunguru, ukangamalayi mewa... Ndema wa vandu howo, heka ni vandu.

    ReplyDelete
  8. Hizo Nyusi Kanyoa ama?

    ReplyDelete
  9. Wewe Anony 10:37 umeshaanza kubeep!!!!

    ReplyDelete
  10. Anon wa saa 10: 49 yaani statement yako imenifanya nitapike ! Kuna jambo gani mtu kuweka mawazo yake kwenye karatasi ? Ni lazima tujenge tabia ya kujisomea, ninashindwa kuelewa ni dunia gani wewe unayoishi. Hata huku walikoendela kila siku watu wanaandika vitabu .

    Next time watu kama hamna cha kusema ni bora mkae kimya kuliko kuexpose myopiness.

    ReplyDelete
  11. WADAU HAYA MAMBO KILA KIUMBE ANAYO KAMA KUNA WAKATI UNAJISIKIA UNAJIAMBIA WAZO FULANI MWENYEWE HAPO NDIO UNATAKIWA ULIANDIKE NDIO INAKUWA UJASIRIAMALI WAKO.TUSING'ANG'ANIE FOMULA MOJA TU YA KUAJIRIWA NA MTU.TUJIVUNBUE WENYEWE.

    ReplyDelete
  12. nakubeep maana una mvuto, nipe contact basi kama bado upo single, ni mimi msema kweli.

    ReplyDelete
  13. JAMANI WOTE TUTOENI VITABU KAMA WANAOTOA MAGAZETI NA WANAOANZISHA TOVUTI..KAMA KAWA YA YETU

    ReplyDelete
  14. Big up bro..nakukuli mtanganyika one day yes kijana utazama kwenye ngome kuu pale kwenye kivuko..
    One.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...