

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Damn No Comment! Hii Ya Jioni na Lala Nayo Taxiiiiiiii! nishushe namanga nikanunue Lotion. mtoto hana kovu lakucheza utotoni michangani ngozi nyororo ahsante ITV kwatangazo la Amanda.
ReplyDeleteKuuliza si ujinga, hivi tunatakiwa kuwa proud kwamba mtanzania wa kwanza kawekwa kwenye PlayBoy? Is this something really to be proud of? I must be confused, realllllly confused :-(. Sijakataa binti ni mzuri sana ila...I reserve further comments maana it;'s playboy mann...PLAYBOY.
ReplyDeleteBabe, babe, babe hakuna na wa kufananishwa. Tansvensker girl.
ReplyDeleteEe bwana ee. Sio mchezo.
ReplyDeleteNiiiice Boobs,
ReplyDeleteAnoy wa pili. Kama tumeshindwa koote tufanyeje sasa? no kandada no miundo mbinu no maisha mazuri kama mtoto katokea kwenye play boy poa. hakuna noma wala ngendembwe kama ujawai kugusa kitu kama hiyo kuwa wa kwanza kutupa jiwe.
Londoners
NAOMBA CONTACTS ZAKE TAFADHARI!!!
ReplyDeleteWabongo wenzangu nawapa 100% kwa unafiki...huyo binti wala hafanani na chochote kitanzania,lakini tumemdoelea kama bata aliyeharisha!!!mnaona uzuri wa kiuchi kidogo na mnakimbilia kumtongoza...ajabu,sasa kwanini Richa Adhia mlikuwanamkataa???unafiki tujifunze kwenu!!!
ReplyDeletekweli hii toto si mchezo na inapiga kiswahili,sasa lazima niitafute nikawatese wala vumbi labda itasaidia kidogo kuona tofauti kati ya wadau wa box na wapiga mdomo wa vumbis...next time hapa picha yangu na mke wangu tvester wherever...hahaahahaha ahaha!
ReplyDeleteNI KWELI MBONGO HUYO,SOMA CHINI
ReplyDeleteIda Ljungqvist
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ida Ljungqvist
Playboy centerfold appearance
March 2008
Birth place Dar es Salaam, Tanzania
Date of birth September 27, 1981 (1981-09-27) (age 26)
Measurements Bust: 32D
Waist: 21
Hips: 35
Ida Ljungqvist will be the Playboy's Playmate of the Month for March 2008. Ida was born in Tanzania to a Swedish father, and a Tanzanian mother. This made her the first playmate born in Africa.
Mithupu,
ReplyDeleteKusema anapeperusha bendera ni kulitusi taifa!! Najua hiyo comment hukuandika wewe lakini naomba masahihisho. Ukishamaliza mtupie huyo dada ze fulanaz.
Mdau wa Newala.
huyu ni mtanzana kivipi? sijaelewa vizuri? anaipeperusha bendera ya Kitanzania au uholanzi? maana nasikia mama yake ndo m-TZ na mshua ni Mholanze, so sijui ni nini anakiwakilisha. nyw kwa wale wanaoijua playboy nadhani kwa utamaduni wa k-Tanzania sijui kama maadili ya Kitanzania tunakubaliana nayo kama kweli tunakubaliana nayo basi tunao wa-TZ kibao wanaoweza fanya the same thing ndani na nje ya TZ na sisi tukawa na wapiga picha za uchi wazuri ndani ya TZ na tukaiwakilisha vyema nchi yetu. tuache kuzugana bwana. Sasa Ray C akifanya the same shit mnam-mind yeye ana tofauti gani ya huyu mtoto au kwa sababu siyo playboy magazine? au sisi tulio ughaibuni tuwe tunacheza hata porn watu watafurahi sababu tunaiwakilisha TZ? ha ha ha ha inafurahisha eh lol
ReplyDeleteHOW LOW CAN WE GET?NI MAMA GANI WA KITANZANIA,ANATAKA MWANAE AKAJIANIKE KWENYE PLAYBOY,AMA NDIO KAWA MZUNGU ANYTHING GOES.ASILIMIA FULANI WAZAZI WANACHANGANGIA VIPI WATOTO WANAKUA NA HUU NI MFANO.
ReplyDeleteMaziwa Ya Uongo hayo mademu wetu huku wana maziwa yakweli kwa kula kuku anayekula uchafu wake na matope sio kula kuku wakupigwa sindano mzuri sawa ila hapa tunawazuru akalale huko. angepiga lady jaydee mngesema malaya oh picha za uchi mambo mengi bora nimtizame bi kidude.
ReplyDeleteHuyu mtoto hata vuja uchumba maana nilizani nimepata mzuri kumbe kuna viumbe michu nipe contact zake basi
ReplyDeleteSafi saaana mtoto puripuri, njoo kwangu ntakununulia nokia ya kemera!!!
ReplyDeleteKwa kuwa ana uraia wa nchi mbili basi napendekeza akitoka kwenye hilo jarida- awe amevaa bra yenye rangi za bendera ya sweden na thong iwe na rangi za bendera yetu ya kibongo ili tupeperushwe vizuri!
Ray C mnamponda kila leo kwamba yuko nusu uchi ooh mara aankwenda kinyume na maadili ya mtanzania, sasa huyu binti mmesikia playboy kila mtu anamsifia. Hivi mnaelewa playboy vizuri? Na mnadhani hiki ni kitu cha taifa letu kujivunia? Wakati wenzetu wanasonga mbele kwenye nyanda mbali mbali sisi tunasifia ngono na kuomba contacts, kwa mtaji huu wala hatufiki. Aibu watanzania, aibu.
ReplyDeleteMIMI HUMO SIMO KABISAA MAANA SIWEZI KUWAKILISHWA KATIKA PLAYBOY.
ReplyDeleteAJIWAKILISHE MWENYEWE NA FAMILIA YAKE NA WASHABIKI WAKE!
AIDHA MWANDISHI AWE MAKINI KATIKA MATUMIZI YA KIMAANDISHI YA 'UEPERUSHWAJI WA BENDERA YA NCHE YETU'
Samahani niseme kuwa huu utambulisho wa hiyo blogu /tovuti ya 'Total Knochout imeninitoa kwa KO mapema kabila hata ya kuzuru huko!
Watanzania mnatakiwa kulifurahiya hilo kwa kutowa Mtanzania wa mwanzo kuingia katika playboy na hiyo ndio inazidisha kuipa nchi yenu chati katika ulimwengu kwa vile Watanzania ni wenye vipaji vya kuzaliwa inafaa vile vile kuanzisha magazeti kama hayo hapo Bongo kuonesha zadi ulimwengu ni nchi yenye maendeleo ya kileo
ReplyDeleteBinti kapeperusha, nahani kwa ulaya ,America na kwingoine kw anchi za dunia ya kwanza, hakuna aibu yeyote ku pose kwenye playboy, kwanza Playboy mag linachukuliwa kama gazeti la Hadhi.
ReplyDeleteKuna ajabu gani , Mbona tumona Live Richard wa Big Brother wakioneysha uutupu wake na hadi maungo ya kiume yakiwa kamili kweney TV na bado tumempokea kama shujaa?
Aielewi kwa nini napeperysha bendera ya tanzania. Huyu baba ni msweden. Kwanini asipeperushe bendera ya sweden...??? Labda wa sweden ghawataki hjina la nchi yao kulink na mambo ya kipleiboy.
ReplyDeleteKila mtu ana opinion yake kwenye mambo ya playboy magazine, playboy mansion na playmates.
Kwa hiyo wakiwa playmate wote ni wa yule kibabu Hugh Hefner..manake nasikia huwezi kuwa playmate of the month kama hujakaa kwenye ile mansion na huko lazima kibabu yule msherekee wote.
Playmate ni cheap publicity. Watu wengi wanaobwa kupiga picha ili wawe playmate of the month na wanakataaga kwenda kwenye hilo gazeti...
ReplyDeletendio maana hata sweden hawamfagilii kaamua kujifagilia kwa bongo tusio na wanamashuhuri...we don't want someone kupeperusha bendera yetu kupitia payboy....
Hili ni gazeti kwa "WAKUBWA TU" na haliendani na maadili ya Watanzania. Anapeperusha bendera ya Sweden hapa.
ReplyDeleteHashim Thabeet anapeperusha bendera ya Tanzania akicheza mpira wa kikapu UConn.
sasa naona mkuu michuzi unaanza kushabikia uzinzi,huyu demu na picha hii ipo kwenye website 1 ya ngono maarufu sana hapa USA nafikiri sasa imefika wakati michuzi ukitumiwa vicha kama hivi fanya uchunguzi au uliza wakuu wengine wa vitengo watakupa ramani.
ReplyDeletethis shows how desperate we are for any sort of achievement...... moral or immoral.Wamarekanani wenyewe bado wanashindwa kuwakubali warembo wote wanaotokea katika magazeti hayo, and here we are, watanzania and on top of all, africans!
ReplyDeletesaying ati anapeperusha bendera yetu?!?! It cant get worse than that my countrymen!
I wonder even if her mother is going to be proud of her after the playboy's stunt..
senti 5 zangu!
mie sioni ubaya wowote,mtoto kasimama
ReplyDeletekisawasawa mwacheni ale kiulaini hizo vidola au mlitaka aje ajiuze uwanja wa fisi?
MTOTO HUWA NI WA BABA NA NDIVYO WOTE TUNAVYOFUATA MAKABILA, HUWA HATUFUATI KABILA LA MAMA, HIVYO HUYO SI MTANZANIA NI MSWIDISHI, PILI KWA UMRI ALIOONDOKEA TANZANIA NI KWAMBA HAIJUI KABISA TANZANI LABDA TU KAMA UNATAKA TUJIPENDEKEZE. OBAMA BABA YAKE NI MMAREKANI NDIO MAANA ANAWEZA KUGOMBEA URAISI, BABA YAKE ANGEKUWA MKENYA ASINGEKUBALIWA LABDA TU KAMA ANGETAKA KUGOMBEA HAPA BONGO TUNGEMRUHUSU.
ReplyDeleteKwa sababu ya kushabikia ushetani kama huu ndio maana nchi imelaaniwa na kutumbukia kwenye ufisadi na maisha kuwa magumu kila siku, acheni mambo ya kuiga ushetani tusifie vitu vya kweli na tumwogope Mungu.
ReplyDeletekama bendera ya taifa imeshindwa kupeperushwa kwa njia muafaka basi hata hii pia sio mbaya, inategemea binadamu anataka kuona nini! tuache ushamba! twende na wakati hilo gazeti la play boy halitaki picha zingine mpenzi wangu biubwa akitia picha zake humo bendera yetu haitapeperuka itapaa! michuzi nistue kama vipi niletee picha za mi thong ya kufa mtu
ReplyDeleteMfamaji kutapatapa haachi, mfamaji baharini hushika kile na hichi aokoke masikini. sasa mtu karuka na afrika bora angesikiliza vema kama hajamsoma vema basi ndo akaturushia huku, sasa bendera ya umamani ndo ipeperushwe sweden,Bado tuko na kichwa cha mwendawazimu kuhusu hilo. Aende akavae vizuri huko kisha aje tuongee kitu kingine,
ReplyDeleteMie sidhani kama tanzania inataka kumpeperushia huyu demu bendera manake sio adhi ya mwanamke wa kitanzania kuanika uchi wake mbele ya umati wa watu. Nyie mnaelewa maana ya playboy ama? Nude pics. Na kila siku nasema kama mtu una thamani na wewe mwenyewe basi hutochukua picha za uchi hata siku moja. Angepiga Ray C angeitwa malaya...Je huyu tumuiteje? Manake huyu kapiga picha za uchi kabisaaaaa zipo online. Maigizo mabaya na Binadamu tunaenda pabaya.
ReplyDeleteNa watu wakiandika bio ya huyu dada wanandika Swedish sio Tanzania. Sasa tuache kumpa "Tanzanian" wakati sio moja wetu manake hapa nikiangalia info alizotupa michuzi na hizi ni tafauti .
BIRTHPLACE: Sventin, Sweden
BUST: 36" C
WAIST: 24"
HIPS: 36"
HEIGHT: 5' 7"
WEIGHT: 118 lbs
Fanyeni wenyewe nenda yahoo type "Playboy" kisha uone mwenyewe
Hivi hicho Kifua hamna mkono wa Surgeon kweli? Maana nchi za wenzetu kufanya plastic Surgery na kuweka implants ni order of the Day!!!!
ReplyDeletemwambieni huku maunt na ma-uncles wake wanafumba macho kila wakiangalia maembe dodo,likitumbua sijui lithambutha liko wazi, wanasema we mwana hukufundwaaaa?
ReplyDeleteGuide Note:
ReplyDeleteIda Ljungqvist is the March 2008 Playboy Playmate of the Month. She is half Swedish, half Tanzanian. She has lived in over nine countries, but was raised primarily in East Africa and Southeast Asia. When discussing qualities she looks for in a man, her turn-ons are a good sense of humor and an open mind.
Fast Facts:
Height: 5'7"
Weight: 118 lbs
Measurements: 32D-21-35
Born: September 27, 1981 in Tanzania
Fluent in English, Swedish, and Swahili
First African born Playmate
Has a pet iguana
wewe mtoto kapeperushe tuu bendera ya sweeden, tanzania hatuna haja ya kupeperushiwa bendera yetu na maplayboy, umesikiaaa? kama kweli wewe upo proud kuwa tanzania tafadhali tafuta fani inayofanana na mila na desturi zetu na kama huna fani jitulizee tuu. tena usirudie tena kuitajataja tanzania huko unapofanya hayo mambo, maana unatuweka kwenye aibu kubwaaaa sanaaaa.
ReplyDeletekaka michuzi naona umenibania comment yangu niliweka jana kuhusu huyu bint, lkn umeninyima tuu haki yangu ya uhuru wa kuongea kaka, maana haikuwa kali kihivyoo mbona inafanana tuu na za wadau wengine hapa, anyway namwambia huyu bint aachane kabisa na tanzania hatuna shida ya maplayboy apeperushe bendera ya sweden inatosha, kwanza haipendezi kupeperusha bendera mbili, mimi nipo radhi awapeperushie waswedish maana sidhani kama kuna mtanzania atapenda hayo.Kingine hayo maziwa angalia sana mwana utaja pata maumivu ya mgongo buree ya kununua kwa pesa zako mwenyewe. nimemaliza, usinibanie hii michuzi plzzz.
ReplyDeletehivi hawa wala vumbi sijui wanaongea nini, nyie huko dar wanawake wanajiuza kila kona mbona hamsemi kitu na mnanunua kila siku?
ReplyDeleteDar kila sehemu ya sitarehe asilimia kubwa ya wanawake ni biashara mpaka inaboa leo mnaleta wivu sababu mtoto wa watu kaitoa,
anawakilisha bongo hata kama utaki na richa anawakilisha wadosi ndani ya bongo maana kwao...
ReplyDeletewewe anon wa march 4, 9:37 acha kuwa bwege wa mawazo na pia mwenye uelewa finyu, obama baba yake ndiye mkenya na anagombea urais marekanai kwa sababu ni mzaliwa wa marekani, there is nothing to do with the orignality of his parents, hata kama wewe na mkeo wa kimakonde mkiizaa marekani mtoto wenu atakuwa na haki ya kugombea urais wa marekani kwa sababu ya kuwa kazaliwa marekani. na the same thing applies kwa huyu binti, anaitwa mtz coz amezaliwa tz, licha ya kwamba ana asili ya kiswedish.
ReplyDeleteKama yuko Playboy ina maana yuko uchi! Ni jambo la kujivunia kweli? Ni aibu kwetu kuwa dada zetu wanaishia kuwa sex toys? Next tutamwona kwenye video za XXX? Tutajivunia oh kuna mbongo anaigiza sex videos?
ReplyDelete@ march 4 9:37 umenichekesha sana mambo usioyajua waachie wenyee. Ni kweli huyu mtoto baba yake ni msweden hapo nakupa tano...hapa anapeperusha bendera ya Sweden au ya marekani who cares....
ReplyDeletelakini unavyosema obama baba yake ni mamarekani ....sijui umesikia kutoka kijue gani. Obama ni mzawa wa hapa lakini baba yake hakuwa raia wa hapa. Alikua mwanafunzi kama wengine wengi tunavyowaona wabongo wanazaa na kuacha watoto wao. kesho wakiwa maraisi sijui mtaanza kujiikolombeza.
Ukizaliwa marekani unaweza kuwa raisi...umeona Gov wa CA yeye anahamu sana lakini hawezi kuwaraisi kwa vile hajazaliwa hapa...
Ano.March 4, 2008 10:41:00 PM EAT,
ReplyDeleteWaeleze vilanza hao waelewe maana wakijua shika mouse interenet cafe kelele kibao...wanafikiri makelele ndio hoja vifungu hawana hoja hawana kelele tu
mnaotuletea mifano ya kina JD na Ray c Unga naomba mnyamamze waendelee kuimba tu hii fani ina wenyewe na ushaambiwa magazeti ya wakubwa kama toto kung'uta miguu ukalale
Mipingo kwa Unafiki? Hivi hiki kidada,RAYC au Freddy Mercury angelikuwa nduguyo na kukutumia ki-RAV 4 na pesa za kuweka kighorofa chako Kunduchi Beach huku ukiwa msimamizi wa petro Station yake au HOTEL, ungelianza kusema SIZITAKI HIZI PESA zako kwani ni chafu? Pesa za USA zinatoka wapi? Unga, silaha za vita, Sexy busness, nk. Mbona msaada wa Bush mmeupokea kwa furaha bila kusema huu umetokana na kodi aliyolipa Mr. Marcus, Peter North, Snoop Dogg, Midori, Rocco, etc.
ReplyDeleteTatizo la wala vumbi hawaelewi Playboy ni nini? najua wanafikiri ni umalaya tuu...poleni sana lakini ulizeni mtafundishwa ila FYI hili gazeti linauzwa popote na wala kwenye maktaba na maduka ya vitabu ambako ni marufuku kwa mengine kuuzwa,playboy is more of Art kuliko mnavyofikiria na ni heshima sana na ujiko mkubwa kuwa katika playboy
ReplyDeletemdau Beverly hills
Kweli sisi wabongo ni waajabu. Tunamshabikia mtu ambaye anatoka uchi kwenye gazeti ambayo wanaume wanatumia kupigia punyeto? Kweli hatuna maadili!
ReplyDeleteNyie mnaosema anaclaimu uraia wa tanzania kwa vile alizaliwa tanzania mnakosea...jifunzeni uraia...huyu alizaliwa bongo lakini kama amefikisha miaka 18 alikua na right ya kuchagua uraia aliokua anautaka either kuwa msweden , au mtanzania....na sasa hivi huyu atakua ni raia wa USA kwa hiyo mambo ya africa angeyasahau kwa vile alishaukana uraia. Kama aliondoka na miaka mitano hajui kabisa ethic zetu na culture yetu...na kama mama yake anazijua asingemuachia kuweka sura yake kwenye palayboy wakati wenyewe wazawa wa hapa hawataki kujiweka na wanaojiweka huko career zao zikianza kupaa zinakuwa kwenye mushikel.......tuptptrushe bendera yetu kwa mazuri sio kutafuta jina basi tuwakubali kwa machafu pia kwa vile tunahamu ya kujulikana
ReplyDeletehii ni against our ethic beliefs
Ba! Michuzi, kwetu sisi BaMakonde mtoto ni wa mama. Hivyo wajomba wana uzito mkubwa zaidi ya baba mkubwa au ba mdogo. Na ieleweke kuwa mtoto huyo amezaliwa katika ndoa halisi iliyosheherekewa na kila mtu kijijini Ntwara.
ReplyDeleteHivyo sisi Bamakonde tunashangaa watu kushangaa binti huyu kuelemea ujombani Tanzania. Siye Ntwara tunamwona binti huyu Ntanzania halisi kabisa na tunantakia mafanikio mema ktk kazi zake na kutuwakilisha taifa letu la Tanzania.
Mdau
Mikindani
Ntwara(Mtwara)
Tanzania.