
supa modo cynthia masasi ndiye mrembo wa kava la jarida mashuhuri la mimi kwa mujibu wa dada teddy kalonga anayetesa huko hollywoood kupitia http://total-knockout.blogspot.com/
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mdomo wa huyu mtoto.......mhhhhhh??? wallah nina maoni ya kutoa lakini nitarejea baadae baada ya kutoka bafuni, it wont be long I promise.
ReplyDeleteahahahaahha! anon wa kwanza wewe hujatulia kabisa nakwambiaa, ahahahahaah, haya kila la heri huko chooni, tunasubiri hayo maoni lkn usipotelee huko huko
ReplyDeleteBreaking News: Anony wa 6:15:00 amekutwa unconscious bafuni huku mkononi akiwa kashikilia mche wa sabani kisura na ukutani kuna picha ya mrembo mmoja.Pia jitihada zinaendelea kumtoa kwenye bwawa la mapovu ambayo......well stay tuned
ReplyDeleteAnony wa kwanza nimerudi tena jamani, haikuwa nia yangu kukawia namna hii ila hapa nilipo nina POP!Nilipiga mwereka wa nguvu wakati najikimu kwa binti huyu mrembo!
ReplyDeleteHuyu sio super modo huyu ni video hoe jamani. Super modo na video hoe ni tafauti. Video hoe anatakiwa audition kua kwenye video by lettin guys feel her....na supa modo kama kina Heid, Naomi, Tyra,Salata wale ni supa modo sababu ile ndo kazi yao ya kila siku. Being a video girl ni kasheshe, fanyeni research muone.
ReplyDeleteWe!! Annon wa mwisho huna adabu we!! Yaani kuwa supa modo ndio umeona dili? Ninacho angalia mimi ni 'Personality' au 'Persona' na Cinti anayo 'Persona' Nzuri ukilinganisha na hao ma Supa modo uliyo wataja kwahiyo wewe huja fanya Reseach.
ReplyDeleteNgoja nikupe sasa Heidi alitembea na jamaa wa F1 Mtaliano ambaye nikiwembe balaa akapata mimba (inamaana hawakutumia condom, Heidi alihatarisha maisha yake na ya mwanawe)mwisho jamaa akamtosa na mtoto akamkataa Seal ndio akachukuwa kitu na Boksi. Naomi hana personality anatembea na kila mtu mwenye jina 'Famous' na'mamilionaire' kama Usher na sasa yupo na Mbrazil amabaye kaproposi lakini Naomi hana mapenzi ya kweli, ni mtu mwenye hasira za kuua mtu na alisha wahi kumpiga mtu na handset ya Mobile yake alishtakiwa na ikabidi afanye community service 'New York', kwahiyo kumpata Naomi sio kazi ukiwa na utajiri utatembea na wewe tena bila ya Kondom.
Tuje Cynthia, huyu dada ana Pernality toka alivyokuwa Dar ninavyo mjua mimi alikuwa anaongea na kila mtu. Alikuwa ana penda sana ku-hang na wavulana 'Siyo kimalaya' bali kiiushkaji(kwahiyo hana umbea), alikuwa anapenda sana mpira wa kikapu na saa nyingine mpira wa miguu. Huyu dada kaenda hewani si kitoto na anafiga ya kuua mtu na hii naturally yupo hivyo ukitoa madiko diko ya kiurembo waliyo mpamba kwenye picha 'Photoshop' mambo ya Air brush na nini. Hana maringo na wala hajivunii ujinga na ni rafiki wa kila mtu Antlanta ua Houston wanajua nazungumzia nini na wale wa London na wa Bongo Uhuru street wanamjua bila kuwasahau wa kwetu Mwanza.Huyu ni mtanzania halisi tena ni Msukuma halisi. Sijui umepata wapi ile neno la video Hoe, neno la kiingereza halisi ni 'Whore' naona snoop na dre wamekuharibu mswahili wewe. Fanya research panzi we si unaruka ruka tu. tehe teh tehe!!
Mpaka sasa nimesha kupa research ya kutosha, hapo bado sijakupa sifa za Kate Moss kama unamjua au kama humjui mcheki kwenye Google.
Anko Michu, endelea kutupa picha za warembu wetu, hapa na kumbuka ule wimbo "Wanawake watanzania wazuri sanaaaaaa........"
amejitahidi kidogo hapa, maana mambo ya kuvaa chupi hadharani, na kimataifa inashangaza, ameanza kubadilika sasa hivi, ila dada punguza, kidogo usishabikie wavulana ambao sio wako, kwani utasemwa na baadhi ya watu.
ReplyDeleteWewe uliomfagilia Masasi naona unatwanga maji kwenye kinu.
ReplyDeleteMa super model wana personal issue, hata JK pia anazo lakini tukija kwa Masasi, hana mpango sasa.
Awaulize wenzake masuper model kama aliyewataja mwenzangu hapo juu. wamekava magazini zote za urembo, je masasi kakava magazine ngapi? MIMI!!?
haya kaka michu tafuta madada zetu wowote, mwaka wa kina mama na madada huu, wanawake oyeeeeeeeeeee.
ReplyDeleteWewe ulomfagilia huyu masasi ndo ufanye research unambie huyu demu kafanya nini adi awe supa modo, kwenye video zenyewe anaekwa back-up dancer bada kua leader girl cept video moja tuu aloimba na yule fat guy sijui jazz nani huko. Kama ana personality basi hao wanao shoot video wasinge muacha akae nyuma sana kama hujui. Ila huyu sio supa modo, huwezi kumfananisha huyu na tyra, naoni hata Heidi. It doesnt metter kwamba Heidi malaya au Naomi katembea na wanaume wengi sana, basi atleast walotembea nao wana pesa sio huyu kinuka mkojo anae eenda kufanywa ili aingie kwenye video. N thas real in industry wewe hui video girl adi upate cha nyuma au mbele. Sasa mie nashangaa watu wanao jidai sijui supa modo. Amekava magazine gani zaidi ya Mimi n what the heck is MIMI?
ReplyDeleteMichuzi kaka usinibanie comment yangu ila watu wengine wanaitaji ukweli.
Mbona nimeangalia hiyo video ya TI sijamwona...au niangalie sana na tena.
ReplyDeletewatu wanapenda show off...Kuna mtanzania ametengeneza real commercial hivi majuzi hapa marekani lakini kakaa kimya na lipo kwenye TV wala hamwambii watu...mimi niko pale...mimi hivi...hela yake aliyokatiwa tu inasema ukweli...hawa wanatafuta kujulikana sana ndio maana wanatangaza kila mahali...
mcheza ngoma hajisifu hiyo mimi picha na maelezo kapeleka yeye...subiri watu wakupeleke huko
sorry naomba kuuliza niliskia tetesi kuwa huyu demu uliyemuita supa modo naskia alikuwa akijuiza ktk mitaa ya miji ya atlanta na houston je ni kweli?kazi kwenu nyinyi wadau mlioko huko ughaibuni?
ReplyDeleteJamani hembu nisaidieni kwanza mwenzenu,lii magazine ya MIMI ni ya nchi gani? mmiliki au wamiliki,na TK analifanyia kazi gazeti hili??? nisaidieni hapo mwenzenu halafu nitarudi tena kuwapa mambo.
ReplyDeleteJamani hayo macover ya magazine yanapatikana WALGREEN'S STORES huku marekani na bei ni $6.99.Nimeona last weekend jinsi wanavyoyatengeneza.Unachotakiwa kufanya ni unawapa hao jamaa picha yako unayoitaka then unachagua aina ya cover na gazeti unalolitaka then wanakutengenezea. some of the magazine covers kama hii ya Masasi zinaweza kuwa za kweli au ndio zawezakuwa hizo za Walgreen's.
ReplyDeleteMNYONGE MNYONGENI, HAKI YAKE MPENI. CYNTHIA HANA TABIA HIZO CHAFU MNAZOMSINGIZIA HAPA.
ReplyDeleteWENGI WENU HAPA HAMNA LA KUSEMA, BADALA YA KUANGALIA NA KUPITA MMEKAZANA KUCHAFUA MAJINA YA WATU.
CYNTHIA AMEAMUA KUWA MODEL; NYIE MNAOJIONA KAZI ZENU ZINA MAANA ZAIDI MBONA HATUWAONI HUMU MKIPOZI KWENYE MAOFISI YENU?
"CYNTHIA KEEP DOING YOU" HAWA WACHOVU NA MAONI YAO FANYA KUWAPANGUSA TU.