Habari za saa hizi kaka Michuzi,
Ningependa kutumia nafasi hii kuwatangazia wasanii wote waliopo Tanzania au UK, kuwasiliana na producers wapya wenye vipaji wanaoitwa Cipha Headz ambao wanafanya shughuli zao za kimuziki ndani ya UK.
Wanataka kuwasaidia wanamuziki chipukizi au wakongwe kutoka Tanzania na East Africa kwa jumla. Ukitaka kujua zaidi nenda kwenye links zifuatazo;
au
unaweza kusikiliza nyimbo tofauti ambazo wametengeneza wabongo wenzetu.
Ahsante
Mdau Ukerewe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. waw mnatisha aisee pia mnamvuto.LOL

    ReplyDelete
  2. e bwana safi sana na nyimbo zimetulia kinoma, vipaji mnavyo sasa tutapata vipi hizo beats?

    ReplyDelete
  3. What do you mean by KUWASAIDIA?Kuwapromoti,kuwatengenezea tracks bure au kwa malipo nafuu au ni aje?

    ReplyDelete
  4. mimi ni mmiliki wa label ciphaheadz music,naweka wazi nataka kuwasaidia vijana chipukizi kwa kuwatengenezea beat bure na kuwapa ushauri jinsi ya kujiendeleza kwenye hii biashara,kama unaswali lolote nitumie kwenye hii email ciphaheadzmusic@hotmail.co.uk,wote mnakaribishwa,kuuliza si ujinga

    ReplyDelete
  5. Ebnwana Ndio Hizo Beat Si Mchezo sasa bongo huku sie tunazihitaji toshachoka kuibiwa na P funk.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...