mdau sadiki akila mikonozzz na wanamuziki nyanda (shoto) na naila thorbourne wa kundi la brick & lace toka jamaica ambao wako nchini tayari kutumbuiza katika fainali za bong star search kesho usiku. haopa walikuwa wakijiandaa kwenda bagamoyo kutalii. kinadada hawa wanatamba kwa kibao chao cha 'love is wicked' ambapo karibu kila tineja bongo anawajua. unaweza kuwacheki na kuwasikia kwa kubofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. hahahahaha Sadiki mambo vipi Mzee, nakuona si utani uko na totoz bomba kabisa. Mchizi wako hapa ndani ya USA.

    ReplyDelete
  2. MCHANGIAJI ON RACE!
    Sometime it is great to see the honest of Michuzi when posting his posts.


    Do you sometime feel that, you are probably having a same feeling and thoughts that are inclining on your head on the same thoughts and pattern similar to that of your readers.

    To cut the story short, some bigots on your blogs are being silenced, hence they cannot identify the racial identity of these two. They all seems mixed race, attractive and beautiful girls, some of the men would love to date, and some of the girls would love to being. and this comes to another point.

    We tanzanians tend to lynch ourselves, it is kind like a civil wars. Do you all remember when Miss Tanzania Razia, if i didnot get the name wrong. People went for screamer, and you would hear a chorus and catalogues of abusive language, and bigotry comments of high magnitude, you sometimes wonder if given a chance once would resort in violence.

    But hey to these two beautiful girls, everybody run for cover, thats I called thunder bolt struck. There is nothing wrong you can say about them, rather than being SILENCE.

    By Mchangiaji

    ReplyDelete
  3. Wazee wa EPA totoz umeletewa sasa!! Kazi kwenu..wanatokea jamaica hamna tofauti kubwa na bongo...hela iongee sasa....

    ReplyDelete
  4. absolutely stunning

    ReplyDelete
  5. hii kitu ina make sense

    ReplyDelete
  6. Eee Bwana Michuzi ee,
    Wamefikia hoteli gani hao?

    ReplyDelete
  7. We mchangiaji japo umejitahidi kunichanganya kwa kingereza kingi lakini nimejitahidi kukusoma.These girls are beautiful na hakuna mtu kasema Richa ni mbaya ki hivyo.Wadau walichokuwa wanahoji(I personally was indifferent), ni uhalali wake kubeba bendera ya Tanzania kama mrembo anayewakilisha uzuri wa binti wa kitanzania.

    ReplyDelete
  8. Duuh brother Michu, huyu nyanda sio mtoto wa kisukuma kweli?

    ReplyDelete
  9. Jamani naomba nipewe nafasi ya kuongea na hao wadada! Nahisi hapa Bongo ndio asili yao kutokana na majina yao. Nyanda ni kija ya Kisukuma na kama mnakumbuka enzi za biashara ya utumwa Waarabu walikuwa wanachukua watumwa wengi zaidi toka mikoa ya Tabora na Kigoma.

    Hawa wadada lazima babu zao watakuwa Wanyamwezi wa Sikonge, Tabora!

    ReplyDelete
  10. Jamani Uzuri kwa kweli Hauna Race!! Black, White, Mixed etc etc..kama ni bomba ni bomba tuu...Damn these girls look yummy!!!

    ReplyDelete
  11. Hey Mr Mchangiaji on race,what exactly is your point?unaanza kuchochea moto uliokua umezimwa,watu kama nyinyi ni sumu ya jamii,hawa madada wa ki_jamaica wanahusiana vipi na hoja yako?peleka chuki zako Kashmir.

    ReplyDelete
  12. Huyu wa kushoto inaonekana mjamzito?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...