nimebahatika kukumbushwa enzi za mikonozzz na mdau toka california jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 46 mpaka sasa

  1. Dada una macho ya kumtoa nyoka pangoni! umeolewa? kama bado nijitokeze.

    ReplyDelete
  2. picha umetulia!!!


    lakini kaka Michu hi tisheti yako ulipewa na Babu yako nini, naona unaipenda sana au iko hii moja?

    ReplyDelete
  3. Aaah, Michuzi, hiyo picha mbona inaonekana kabisa imepigwa hapa hapa Dar es salaam?

    ReplyDelete
  4. JINA JINA MICHUZI SIO UNABANIA MWENYEWE LAKINI MICHUZI WEWE MWENZETU UNAKAMZIZI NINI MBONA UNAWAPATA HATA WAKUWA WEKEA MIKONOZ NIME'NGEE KIDOGO BASI

    Steve

    ReplyDelete
  5. kaka misupu toka bwawa la maini ya fisi uwe unabadili basi hilo ze- t shirt yako basi mkuu maana imeaanza kuchakaa,ingawa ulipewa na babu wako toka bmy(bagamoyo)

    ReplyDelete
  6. kweli muchuzi umetuchoka picha hiyo imepigiwa mitaa ya Tabata labda kama siku hizi panaitwa California

    Katichi)

    ReplyDelete
  7. Mzee Naona Kina Manka wapo wengi ingawa hawajijui.

    kama tshirt safi and anaipenda why asivae bwana.

    Life is just way you make it.

    Mdau UK

    ReplyDelete
  8. Misupu, tupe basi data za huyu dada ? (au unataka awe mke wa pili ... hahaaaaaaa)
    (longolongolo@gmail.com)

    ReplyDelete
  9. michu tujulishe basi kama binti ni singoli tuweze kufanya vitu

    ReplyDelete
  10. fafanua michu, sababu hata nairobi kuna california, pale kwetu tanga ukielekea mwarongo pia kuna kalifonia, so which california is she from?? ya mwarongo au nrb?

    ReplyDelete
  11. Ha ha ha ha Imelda Kiswaga...I see you shosti...haya when is you coming back? have funny in Dar to the fullest...

    ReplyDelete
  12. Michuzi jamani huyu dada mimi ameniacha hoi, natundika mobile yangu tuwasiliane +46762336199

    ReplyDelete
  13. oyaa michuzi hiyo t-shirt ndio kimzizi chenyewe nini? mambo ya mlingotini

    ReplyDelete
  14. we anonymous wa march 30th, 12:16 wacha ushamba weee, naona umande umekukaa wa machoni na akilini yani hata kusoma hapo juu maelezo ya hiyo picha imekushinda, demu katoka california kaja bongo sasa wewe leo unasema picha imepigwa hapa hapa dar, of course itakuwa imepigwa hapa hapa lakin demu wa cali sawa bwana mdogo uliye na umande wa macho.

    ReplyDelete
  15. Ndugu yangu Michuzi sikuwezi. Haya hiyo T-shirt kila siku ndio nini? Hebu niambie size unayovaa ili nikija holiday nikubebee ingalau mbili tatu... (smile)

    Mama Lao
    UK

    ReplyDelete
  16. Vipi Imelda, mambo? Nakuona ulivyopendeza...upo bongo? tuwasiliane basi

    Mdau UK

    ReplyDelete
  17. Lako Jicho binti mmmhhh

    ReplyDelete
  18. michuzi hapo sio mikonos. Hapo ni majichos ndio nitakuelewa hiii

    ReplyDelete
  19. Huyu mdau sio Imelda kweli? Macho hayo angalia..Michuzi hiyo T-shirt yako ndio yenye mzizi wa Mikonoz nini?

    ReplyDelete
  20. wadau kama mtakumbuka mwalimu alikua na kifimbo, kaunda alikua na kitambaa na michuzi fulana lol.

    ReplyDelete
  21. Michuzi, kumbe na wewe ni "cute"?

    Mmefanana na huyo beauty

    ReplyDelete
  22. michuzi sikuwezi macho yananiumiza hayo walai tena, yanawaka sana macho hayo. michu macho yanang'ara hayo.

    ReplyDelete
  23. imelda wa ir girls 92 haa upo vile vile safi!! hakuna kuzeeka safi sana

    ReplyDelete
  24. Imelda Kiswaga, Mambo vipi? Toka Iringa girls??? Dada umejua ku-keep figure hongera sana sana.
    Nitakupataje?

    ReplyDelete
  25. I am not trying to be funny! but Ndugu yangu Michuzi, kwani Hizi Polo-shirt una zo ngapi? au ni Uniform ya Michuzi Blogg!!!!

    ReplyDelete
  26. Hapo Michuz inanipa taaaabu kidogo mwanangu,maana uko maguuu ya penati tu hapo!Sasa hiyo hobby ya Mikonnoooooooooooooooooooooooozz, mmmmh ngoja nimung'unye nishimeze wala nishiteme chimama hapohapo, hii konooooooooooz isije ikazua jambo maunoooooooooooooooooooooooz!
    tehe tehe kwi kwi kwi tehe tehe!

    ReplyDelete
  27. Huyu binti mara ya mwisho nilisikia karudi bongo..yuko wapi sasa? Kwa kweli hilo jicho linaweza kumtoa nyoka pangoni na jilo figa ni la kukata na shoka. kama yuko singo hebu chukueni hii ngoma jamani sio mnawaachia Wapopo wanaabyuzi!!
    Mimi tangu miaka ile ngoma iko NJ nilikuwa naizimia lakini sikuwahi kurusha ndoana.

    ReplyDelete
  28. Vipi Imelda Makongo hapo? yaelekea siku hizi pamekucha. Pitia UK basi kutucheki!

    ReplyDelete
  29. Mtoto Imelda umependeza sana, kumbe uko California, ukirudi US nitakutafuta, you really look great.

    Mdau California, USA.

    ReplyDelete
  30. Michuzi toa contact za huyu demu basi, yuko singo???? Hata kama utabania contact, akirudi US ninaye! hizi ndio picha za kuweka bro! Bip up kwa kazi nzuri!

    ReplyDelete
  31. Michuzi toa contact za huyu demu basi, yuko singo???? Hata kama utabania contact, akirudi US ninaye! hizi ndio picha za kuweka bro! Bip up kwa kazi nzuri!

    ReplyDelete
  32. Mimi nawacheka tu na nyie mlie tu! Hivi hamjui kanifuata mimi hapa bongo? Kwani nani unadhani kapiga hiyo picha kama sio mimi mwenyewe niliyekuwa naye siku hiyo? Michuzi kanipa kamera yake nikawapiga na baadaye ni mimi niliyeweka mikonoz katika kiuno murua hicho!!

    Jamani eh, hebu acheni kutoa komenti zenu hizo manake toto hili la kiHehe lipo accounted for!! Nyie vipi nyie? Ahhhrgghhhh!!!

    ReplyDelete
  33. We anon wa unayesema kakufuata wewe hapo Bongo, acha kutudanganya! Akirudi US tunamkibiza kama hatuna akili nzuri! So na wewe ulie tu! teh teh teh teh!

    ReplyDelete
  34. nakuunga mkono annon wa 12:41:00 PM jamaa anatuzibia tu na pili anatupiga fiksi. Mbona Bro. Michuzi kamera yake kaishikilia? usimzibie demu wa watu jamani.

    ReplyDelete
  35. Sasa hampendi? Isitoshe alikuwa hukohuko US na hamjaona ndani na sasa kanifuata mie dume la mbegu hapahapa bongo! Sasa wewe unasubiri eti mpaka arudi US - mpaka arudi US nitakuwa nimeshamkimbiza na kummpa dozi nyingine itakayodumu mpaka arudi tena kuja kufunga ndoa nami! Ooohhhoooooo, we acha tu na muendelee kulia tu - nyie vipi nyie!!!

    Hivi nyie wa US mmwshawahi kumuona Michuzi akiwa kazini? Huwa anakuwa na kamera kama tatu hivi na huzitumia concurently kwa hiyo hapo alinipa ile ndogo ambayo haihitaji focusing kubwa sana - kwa lugha ya kigeni eti wanasema point and click kama sikosei.

    ReplyDelete
  36. Huyu jamaa anyejiita bf wa huyu msichana (annon wa april1 9:03 am eat) mbona anapiga mkwara watu wasitoe comment? Mwenye blogu hajatukataza, itakuwa wewe mtu baki? mwe! Inaonekana huyu jamaa hajui maana ya kitu kinaitwa freedom of speech. Tatizo la huyu jamaa either ni shule ndogo au exposure ndogo. Hapa Australia mojawapo ya nchi wanayoiaminia katika uhuru wa vyombo vya habari barani Africa ni Tanzania. So wacha watu wajimwage na comment as long as picha ya huyu binti iko kwenye blogu ya jamii.

    ReplyDelete
  37. mshikaji mi nakushauri weka picha na wewe umekamata kiunozzz cha huyu binti ili kuwafunga watu midomo.

    ReplyDelete
  38. MAALIM ISSA..HABARI ZA KAZI..NAONA JITIHADA ZAKO ZA KUHAKIKISHA TUNAPATA .."..BARI NYETI.."..MMEPENDEZA NA .."..POLENI KWA KAZI.."

    ReplyDelete
  39. Michuzi nitakutumia e-mail yangu kweli nimesoma na Imelda Kiswaga Iringa girls, enzi za Mama Mgonja kweli nahitaji kuwasiliana nae. kama ndio kweli niambie nitume. Mimi ni msichana kweli sidanganyi. Wewe muulize bweni la Muungano, Mshikamano, Azimo, Mapinduzi. Waalimu wetu nitawataja akihitaji. Pia mwambie akupe habari ya "MTUKULA"

    ReplyDelete
  40. Long time wewe binti mtoto wa mwanajeshi wapi dada ya Devota. Kweli milima haikutani

    ReplyDelete
  41. Najua blog ni hiari yako kuandika na kucomment. Lakini duuu naona watu mnashituka mpaka mnaquote ma sheria ya Australia! Sasa tujue unaelewa sana au unajifanya mjuaji!

    Anyway, unaweza kucomment unavyotaka lakini labda uelewe she is accounted for, yaani sio singo kama wengi wanaovyo uliza. Na nyie wa US ndio mlie tu manake yupo hukohuko lakini hamjaona ndani - uongo au kweli?

    Mali zangu hizo, nyie vipi, aaahhh!! Wewe toto la kiHehe unaona ntakavyo pigana na mijitu hii hovyo kabisa!!

    ReplyDelete
  42. Sista Dumeda, Holla!
    Wabongo bwana mnanichosha, claim nyingi, kazi zero. Ime gauni limekubali, mbona silijui hilo?
    Miss you and love you. Dada

    ReplyDelete
  43. I c u prereeee! Mmmh ze dress, ze hea, you sho rep to the fullest. Have fun in Bongoland. Nice photo!Emeer

    ReplyDelete
  44. AnonymousMay 22, 2011

    Beautiful Girl....words cant explain

    ReplyDelete
  45. Kudadadeki toto limenona kinoma duh mtu wangu

    ReplyDelete
  46. AnonymousJuly 04, 2012

    Walahi ukioa toto kama hili hakuna nyumba ndogo wala nini babake....Duh..mashala

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...