kiasi cha bilioni 50 za mkwanja wa EPA zimesharejeshwa. nenda www.dailynews-tsn.com kwa habari zaidi na maoni yako juu ya zoezi hili la kihistoria

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Pengine ingekuwa faraja kwa watanzania kama tutaambia wanaozirudisha ni akina nani. Wakamatwe ili kuueleza umma huu kwa nini walizichukua!!!

    ReplyDelete
  2. Michuzi eee, nafikili wewe mweeenyewe ulituambia glob hii sasa inatumika kama chanzo cha habari. Sasa basi wape taarifa hao mafisadi na Serikali juu ya maoni yetu kwamba, kurudisha pesa hizo haitoshi, hao wahujumu uchumi ambao wamesababisha tunaishi katika hali ngumu, kila kitu bei juu, tunataka wafikishwe mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake then wafungwe jela, ni wezi hao,majangiri kabisa, wewe michuzi ukimkamata mwizi kaiba pesa yako uliyoihangaikia kwa nguvu zako utamwachia tu eti kisa karudisha, nadhani utamwadabisha,hata kwa kumpa kwenzi moja, sasa iweje leo eti wanatuambia pesa zimeanza kurushwa, inamaaana tusingepiga kelele,jamaa wangekuwa wanakula kuku tu. Tunaumia kwa sababu ya tamaa na wizi wa watu wachache.Tatizo mafisadi na serikali wote lao moja,ni washkaji wa muda mmja hao, nis sawa na Michuzi na Mjengwa; ila naamini sauti ya umma ina nguvu. Tusikate tamaa. Halafu napendekeza iundwe kamati ya kuchunguza mikataba yote tangu enzii za Mwinyi, tutakuwa tunasema tuna mbuga ya wanyama ya Serengeti kumbe imeshauzwa. Tumeshtuka!!!.

    ReplyDelete
  3. Sijui ni kweli?? Eti I find it hard to believe! Sasa, wakirudisha, sheria inakuwaje?? Naona kama mambo yanchukuliwa soft soft.

    ReplyDelete
  4. Hivi Michuzi ngoja nikuulize swali unaposema Bongo tambarare unamaanisha nini haswa ? Ni nchi gani inayoogopa kuenfoce sheria zake zenyewe ? ...Hawa watu are supposed to be taken to court and face the full wrath of our judicial system .

    Please don't quote me wrong , they have done the right thing to return our money but that is not enough ! We must hold them accountable for their actions

    ReplyDelete
  5. Mimi nwauliza viomgozi wa serikali,wale ambao tumewapa dhamani ya kuongozi umma wa watanzania. Jamani,mbona mnatufanya kama punguani sisi wote ? Hivi ni mambo gani haya yanafanyika ? Sheria zipi na za nchi ipi sasa hivi zinafuatwa ?
    Hata wewe mheshimiwa sana Pinda,baada ya kutuhakikishia mbele ya Mungu pale kanisani sisi waumini wenzako, je ni haya haya kweli unayosimamia sasa ?
    Watu hawa wanapaswa kufahamika kwa umma,wasije wakawafanyia watu wengine ufisadi.Wanatakiwa wafilisiwe na kufikishwa mahakamani. Kinyume cha hapo ni kuhujumu uchumi wetu,kutoiheshimu katiba yetu na vilevile ni kutotutendea haki sisi watanzania.
    Si kwamba hatujui vioja mfanyavyo,ila tunawashangaa !!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...