washindi wa mr na miss university 200o walikuwa elizabeth chando na nyirenda masouzi ambao walifanya vyema kwenye mashindano ya dunia yalofanyika january 2001. hivi sasa nyirenda anaandaa mr and miss university kitaifa ambapo vyuo vikuu byote nchini vitashiriki. kaniambia sasa hivi kwamba shindano hilo la kitaifa litakuwa mwezi mei

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Mbona wote wabaya?

    ReplyDelete
  2. Naomba kuuliza jamani haya nimashindano ya urembo au akili za darasani?

    ReplyDelete
  3. SAVCO JEANS... Kweli tumetoka mbali...

    ReplyDelete
  4. Samahani! Nilidhani wote ni wanaume kwenye hii picha! TEEEEHHHHEEE!

    ReplyDelete
  5. KAMERA ILIKUWA YA MEGAPIXEL 0.5 AMA
    NDIO UBAYA WAO TU? MACHO KA SUNGURA
    PORI.NA HUYO DEMU MIGUU YAKE MMMH.SISEMI MIMI.HALAFU WE MNDENGE ISSA NI MCHOKOZI SANA BWANA

    ReplyDelete
  6. Hivi Hawa wameshaoana Ama bado ?

    ReplyDelete
  7. Hivi hawa wameshaoana

    ReplyDelete
  8. Stop hating people! Walishinda kwa hiyo kuwaua means unauwa wazee wote walioshiriki!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...