Michuzi,
naomba uniwakilishie kwa wadau hii issue.
Mimi nataka kurudi bongo kwa sasa na nimeshajenga nyumba yangu huko ila nahitaji kufanya shopping huku kwa ajili ya vitu vyote muhimu vya nyumba. Kwa sasa naishi Marekani ila huku system ya umeme ni volt 120V tofauti na bongo volt 240+.
naomba uniwakilishie kwa wadau hii issue.
Mimi nataka kurudi bongo kwa sasa na nimeshajenga nyumba yangu huko ila nahitaji kufanya shopping huku kwa ajili ya vitu vyote muhimu vya nyumba. Kwa sasa naishi Marekani ila huku system ya umeme ni volt 120V tofauti na bongo volt 240+.
Nafikiria kuship contena(s) lenye vifaa vyote kama, jikoz,fridge...etc. ILA concern yangu kubwa ni umeme huo uko itakuwaje, na je converter utaweka kwa kila kitu?
Je wenzangu wenye uzoefu na hili wamefanyaje??
Mdau njia panda.
Aw, c'mon, dude. You needn't buy anything there, you can get damn near everything you want right here in Bongo. Just come with enuff greenbacks.
ReplyDeleteSeems you left this place a century ago.
Mimi niko TZ lakini huagiza vifaa vinavyotumia voti 240 toka US ntofauti huwa ni bei iko juu kidogo, kwanini na wewe usifanye hivyo kwani vinapatikana huko? Ukitaka nunua konveta kubwa hukohuko utakayoweza kuunganisha vifaa vyote, lakini konveta kubwa bei yake pia ni kubwa pia uzito wake pia ni mkubwa sana. Pia kama watumiaji mtakuwa zaidi ya mmoja basi ipo hatari ya kuunguza hivyo vifaa labda kama tu utahakikisha ndani ya nyumba hakutakuwa na soketi ya voti 240, zote zitatokea kwenye conveta.
ReplyDeleteNi kweli unaweza kupata vifaa 240V marekani, lakini ni nadra sana.
ReplyDeletePili, most of their products are made in ASIA.
Kama unaishi Bongo ,Kwa nini ununue vifaa toka USA badala ya kuvifuata ASIA ??
Wee Dan ni dude kweli kweli! Sasa na wewe mdau wa USA uliye njia panda huna haja ya kubeba conteina, bali beba pesa! Lakini kama hivyo vifaa tayari unavyo (yaani ulikuwa unavitumia) basi inabidi ununue ka-TRANSFORMER kako. Siwezi kukushauri size, kwasababu sijui hata total apparent power ya vifaa vyako. ALL the BEST
ReplyDeleteHuyu jamaa lazima ni Mhaya...
ReplyDeleteTafadhali nenda Devon Street, Chicago (northern suburbs) utapa maduka mengi sana ya Wahindi wanaouza kila aina ya vifaa vya nyumbani vya kutumia umeme wa 220-240V.
ReplyDeleteHapo pia utapata shipping company itakayosafirisha amana yako hadi Bongo.
Mimi ni Mkenya lakini nimesharikiana na marafiki wa dhati toka Bongo ambao tumeishi nao huku kwa miaka. Mali yao yote imefika Bongo bila tashwishi zozote na vyombo vyao vinatumia umeme wa Dar bila kasoro.
Tafadhali nenda Devon Street, Chicago (northern suburbs) utapa maduka mengi sana ya Wahindi wanaouza kila aina ya vifaa vya nyumbani vya kutumia umeme wa 220-240V.
ReplyDeleteHapo pia utapata shipping company itakayosafirisha amana yako hadi Bongo.
Mimi ni Mkenya lakini nimesharikiana na marafiki wa dhati toka Bongo ambao tumeishi nao huku kwa miaka. Mali yao yote imefika Bongo bila tashwishi zozote na vyombo vyao vinatumia umeme wa Dar bila kasoro.
Kaka Michuzi, naona blog yako yaleta taafash kidogo upande wa maoni. Napata notisi kuwa blogu inafanyiwa ukarabati.
ReplyDeleteNitajaribu tena baadaye.
Wee anon number mbili inaeleke una ROHO MBAYA SANA....ni hadithi gani hiyo uliyotoa...au ili tujue unajua?.........Waego, ewe mdau uliyetaka ushauri....mimi ni majuzi tuu nimerudi bongo kutoka Europe after being there for 6 years with cargos and containers......VERY SAD......Everything is splashing in shops down here...in short, hao hao wanaowauzia huko YAMEKIMBILIA HUKU.....buy your ticket and come to do your shopping here....YOU will save a lot.....and the choice on your side is going to be big as well......mambo ya kubadilisha uzito....rangi....eerr....ya umeme .....SAA NGAPI NDUGU YANGU........KABURU kahamia huku....mwingereza kafuata nyayo.....UKIJA UTAKIMBIA MWENYEWE!!!
ReplyDeleteWewe mpuuzi hauna ndugu zako wa kuwauliza mpaka ulete huku mpangilio wako kwenye blog.
ReplyDeleteTWAAAT...........
Japo kuuliza siyo ujinga lkn maswali ya namna hiyo yanaboaaa.
ReplyDeleteInaama mpaka huyo jamaa anaenda usa hajawahi kutumia umeme wa bongo? hiyo nyumba alikuwa anaagiza watu wamjengee? kwahiyo hajaiona? au ndio mikogo kwamba upo america? Dude unaturusha stim, muulize huyo uliyempa tenda ya kusimamia hiyo nyumbo atakushauri vizuri juu ya hilo.....ciao
wewe Rumanyika Mulokozi ambaye umejenga nyumba bongo,unaishi marekani na unataka kuship container(s) mwambie ndugu yako akununulie hivyo vitu vya umeme huku bongo, kuna vipya na second hand
ReplyDeletekwa kweli maswali ya ubinafsi tunaomba uyafikirie na utumie akiri kidogo hata kwa mara moja kuliko kutaka kupata dharau toka kwa watu hiyo nyumba na container na vitu vyote vyako sasa sisis wananchi inatuhusu nini?/kama jamaa wanavyosema huyo kama sio mhaya basi ni mnyakyusa.maana hao nio wakina mr misifa kwa kwenda mbele.kama ujafika tz muda basi hata nyumba wewe huna na kama umeambiwa unayo basi ni wana kupiga fisi tu hao na ukienda utashangaa kuona life hilivyo tz tofauti na kubeba box zako huko usa.
ReplyDeleteDuh!!! jamaa kakusanya maronyaronya waliyotupa mashefa wa huko sasa ana haha. ujanja wa kulta container(s)la vitu vya kununua hana. kazi yenyewe kubeba mabox?????? nyooo!!!
ReplyDeleteHATA MIMI NIFIKIRIA KUBEBA CONTAINER KURUDI BONGO FROM EUROPE, KWASABABU VITU VYANGU NI ORIGINALS NA BONGO FAKE YINGI...
ReplyDeleteILA INA-COST EURO 4500, TSHS KAMA 7.5 MILLION. JE KWA PESA HIYO BONGO NAWEZA KUNUNUA VIFAA KIASI GANI KWA BEI ZA BONGO LEO?
KAKA USHAURI MWINGI UMEUPATA LAKINI NAONA HAKUNA HATA MMOJA AMBAYE AMEWEKA SUALA MUHIMU NA KUBWA KULIKO YOOOOOTE, UKIRUDI NA VITU VYAKO KUTOKA HUKO VYOOOOOOOTE VINAINGIA BILA USHURU WA AINA YEYOTE KWANI WEWE NI RETURNING RESIDENT. SASA UKIJA NA HELA ILI UNUNUE HUKU UTALIPA THE FULL PRICE! KAMA UNAWEZA KUNUNU CONVERTOR KWA KILA KITU AMBACHO NI CHA GHARAMA NA MUHIMU RAFIKI/NDUGU YANGU NUNUA ASIKUDANGANYE MTU...BEI NA QUALITY YA UTAKAVYONUNUA HUKO NI BETTER BY FAR NA BAADHI YA UTAKAVYOVIKUTA HUKU!
ReplyDeletejamani maswali mengine sasa wewe umeondoka enzi za zama za kale au kila kitu sasa kinapatikana hapa achana na usumbufu wa kubebana na makontena hvi we vp ulitakakutafuta sifa nini alaah ukija huku mambo ni supa si kawaida naona wewe ulikosa cha kufanya that why ukaona uwaulize wan blog cha kufanya lazima we utakuwa moja wapo ya yale makabila kwa masifa ndio mnaongoza
ReplyDeletehuna lolote ushamba tu
Mimi pia nina swali. Natafuta Agent wa kunitolea container bila ushuru kama returning resident. Nimekaa UK miaka 11 sasa nipo bongo kila agent ninaemuona anasema lazima niwe mwanafunzi na mimi nilikuwa mbeba mabox. Je kuna agent mnamjua anaweza kunitolea container yangu?
ReplyDeleteNi 40ft toka UK. Ndani ina gari ya 1991 na vitu nilivyokuanavyo nyumbani vyote. Container itafika end of march ila document zote ninazo. send advice to emmakiofvya@yahoo.com
ENYI WATANZANIA MUISHIO NJE MUIGENI MWENZENU ALIEAMUA KURUDI KWAO KUJENGA TAIFA LAO, MKUMBUKE MMESOMESHWA NA TAIFA HILI NA ELIMU HIO MNAITUMIA KUWANUFAISHA WAZUNGU. KUHUSU MADA YAKO NINAKUSHAURI UUZE KILA KITU ISIPOKUWA LAP TOP KWANI HUWA HAZICHAGUI VOLTAGE,PIA NAONA WENGI WANAKUTISHA KUWA BONGO KUNA VITU FEKI, NI KWELI LKN KAMA UNA UWEZO NA ULISHAWAHI KUKAA NA ORIGIN GOODS BASI HAITAKUWIA UGUMU KUVIPATA HAPA HAPA BONGO. BIDHAA NZURI TU ZINAPATIKANA UKIWA NA FEDHA ZA KUNUNULIA. FLAT SCREEN TV PANASONIC NILIOIKUTA CANADA KWA $ 2,050 NILIIKUTA NA SPECIFICATION ZILEZILE KWA 2,800,000 KWA FEDHA YA MADAFU TOFAUTI YA TZS 400,000 TU. HABARI NDO HIYO
ReplyDeleteeban mdau kama uko siriasi mi nimetoka bongo juzi mchina kaharibu sana soko huko kila kitu ni feki tu, wala vumbi wasikudanganye eti nenda kanunulie huko huko utajilaumu beba kila utachoweza
ReplyDeletevitu vingi hapa umeme wake unasema 110-240v ukipata hicho nunua utakitumia bongo bila shaka ila kikisema 110v peke yake hata usipoteze muda na converter sometime hazifanyi vizuri, fatilia hata picha zilizopita siku chache tu kwenye hii site utaona picha ya vitu feki bongo.
Maoni unayopata ni mazuri. Mie naishi US nilikwenda bongo mwaka juzi 2006, kwa kweli bei za vitu huko niliona ni juu saana ukilinganisha na huku. Kwa mfano mzuri ni microwave ambayo ningeweza kupata huku kwa bei chini ya dolla 100, lakini bongo zilikua zinauzwa zaidi ya laki mbili.etc. Nadhani kama unampango wa kwenda na vitu vingi na kuchukua container its cheaper kuliko kwenda kununua vitu bongo, nadhani utasave zaidi. Hayo ni maoni yangu.
ReplyDeleteAndaa orodha ya vitu unavyofikiria kusafirisha na upate ushauri wa mtu wa karibu kwamba nini ubebe nini ununue kule kule. Ingekuwa ni mimi ningechagua vitu vichache vidogovidogo kama vile bose home theater nk ambavyo naweza kuvinunulia transformer na kurejea navyo Tz. Kwa upande wa vitu vikubwa kama majiko bora uingie Tz na dolari na kukubali kumchangia kaburu hapo Mlimani Park. Nikutahadharishe kwamba bei za vitu zitakusisimua. Kwa mfano nilikuta digital camera moja ya Panasonic inauzwa zaidi ya shilingi laki nane wakati mimi nilinunua kama ile kwa dola mia mbili hamsini. Kadhalika pamoja na uwepo wa wingi wa bidhaa hakuna wingi wa machaguo. Kwa mfano niliacha madaluga yangu na mipira ya kandanad US kwa kudhani nikiingia Dar na dola nitanunua huko huko. Ilikuwa shughuli.
ReplyDeleteKwako Anonymous uliyeshauri Watanzania walioko ughaibuni warudi Tanzania kujenga nchi nikukumbushe kwamba tunajenga nchi yetu kupitia ughaibuni. Jana ippmedia.com wametoa habari kwamba asilimia 2 ya GDP inatoka kwa wazalendo walioko ughaibuni. Changamoto iliyopo kwetu ni kuiinua hiyo asilimia mbili iweze kushindana na sekta kama za madini nk, changamoto ambayo hatupaswi kuikimbia. Mchango huu ni mkubwa sana ukilinganisha na kufisadi lakini unaweza kuwa mkubwa zaidi. Nikukumbushe vilevile kwamba kwa mfumo ulivyo sasa hivi mazingira mazuri ya kiutendaji ni mazuri sana kwa wanasiasa kufanya kazi zao kwa ufanisi (usafiri, posho nk) kuliko watu wenye fani nyinginezo kama vile ualimu, uhandisi, uuguzi, udaktari, uganga, utabibu nk. Ukitaka kuambukizisha mazingira mazuri haya kwenye fani nyingine shurti upitie kwenye siasa. Hatuwezi sote kuwa wanasiasa.
ReplyDeleteWE HUNA NDUGU HUKO TANZANIA WA KUWAULIZA AU KUJISHAUWA TU, TUKUJUWE UNENUNUA NYUMBA?
ReplyDeleteJAMANI....
Huyu jamaa inaelekea ametoka Bongo siku nyingi sana. Siku hizi Bongo ni Bora urudi na pesa yako and then nunua kila kitu Bongo. Siku hizi hata magari ya mikopo "ya kulipa kidogokidogo" kutoka kwa some dealers inapatikana. Kuna baadhi ya "vitu mitumba" unaweza kubeba siku hizi kutoka majuu na ukifika Bongo ukajikuta upo out of fasion. Nakushauri ufanye kwanza uchunguzi wa kutosha kabla ya kufikia uamuzi wa nini cha kununulia nje
ReplyDeleteMtu asikudanye nunua vitu US nenda navyo huko.mie nilikuwa huko bongo last year,Mavitu yooote vidosho(fake)kuanzia magari mpaka jezi za timu za Uingereza,mafake kibao!!!!nenda na originals zako plzzz.
ReplyDeleteaisee mi nimefatilia comment nyingi watu wanaokwambia nenda nahela hawajui neno Quality maana yake nini, si tumezoea unanunua kitu kikiharibika ndani ya mwaka miezi mitatu unakirudisha dukani, ndani ya mwaka unakituma kwa manufacturer hii inaleta msukumo kwa manufacturer kuleta vitu imara sokoni, vitu vya bongo feki usithubutu kwenda na hela utatamani uende dukani kumpiga mtu ngumi
ReplyDeleteusisikilize wanuka vikwapa hawaja experience vitu vya huku wenyewe wakiona bei ghari basi wanadhani ni kitu imara and there is no selection utachokikuta ndo hicho hicho
Jamani mwenzenu hawezi kurudi na hela lazima kutumia macredit card kwa hiyo lazima awalize wazungu kwa kuleta container na kuingia mitini kwa deni atakalo acha nyuma
ReplyDeleteMi hayo mengine siweki comments ila ushauri kwenye umeme.
ReplyDeleteMara nyingi vifaa vya Marekani kwa sasa vimetengenezwa kuhimili hadi umeme wa 240 ingawa ni vya 110. Mfano ni kamera kama HDV ambazo zimeandikwa 110 ila wataalamu wa umeme bongo walipima na kugundua unaweza kucharge betri au kutumia umeme moja kwa moja bila madhara.
Huu ni uzoefu wa kamera, vifaa vingine sina uhakika. Unachotakiwa kubadilisha ni plugs za pini mbili (flat)ili ziweze kufit kwenye plugs za pini tatu/mbili (square or round) bongo. Unaweza kuvalisha plugs nyingine pia
nadhani inawezekana bila furushi la convertors la sivyo hiyo nyumba yako itakuwa kama transmitting station kwa ma cable na utitiri wa convertors
thats so easy, on your way from us to tz, stop over in dubai for 4 nights..buy evrythan..its easy coz the shop delivers it to the shipin agent..u just pay, get the receipt and evrythan wil be delivered 2 the agent as promised..unaenda tu kukagua na kulipia yo container and u fly 2 dar..i did that n so hav a couple of my friends..
ReplyDeleteKuna adapter ambazo unaweza kutumia kutoka 110v kwenda 240v. Hiki ni kitu cha kawaida kabisa wamerekani wengi wanakuja Uingereza na vifaa vyao vya umeme na wanatumia adapter.
ReplyDelete