10% OFF March 3- April 5.
Sale ya vipodozi, perfume, lip shine /gloss.
Kwa maelezo zaidi email
nyamwita@yahoo.com
au Ongea na Ester 0753-335011

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Wabongo bwana maneno tu.

    Mlionyeshwa duka la virembo kwa wapenzi wenu...ha ha ha ha majuzi tu kila mtu akajidai nitampeleka mpenzi wangu huko valentine's day, mara nitaenda mwisho wa mwezi kumbe ilikua maneno tu. Valentine imepita na mwisho wa mwezi huo umepita....sasa hivi dada wa watu ameona aweke vitu kwenye sell manake vitamdedodea...

    Nendeni mkanunue vitu hivyo dukani sio kutupage tu huku ...niletee perfume...niletee lotion....ziko hapo sasa na michuzi keshatuonyesha kuwa hizi hizi tunazozitumia huku mmeletewa hapo home sasa sababu ya kutonunua hivi vitu nini nini tena?

    Bongo tambarareeeeeee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...