Kaka michuzi shikamoo!!!
na pia hongera kwa kazi nzuri.Je nikitaka kukutumia picha kwenye glob yako nifanyeje?
Na pia Mi naomba msaada kuuliza kwa wadau mnaoishi huko London je chuo gani kizuri kinachotoa degree ya IT?
Naomba msaada wenu ikiwezekana nipate na website zake. Mtumie email hii kunipa feedback jeki@hi5.com.
Mbarikiwe sana wadau wa ukerewe
Mdau Jacob.
We Jacob vipi?? mbona hueleweki eleweki?? kwani hiyo Text umeitumaje kwenye blog hii?? na huko London unataka kwenda kusoma IT kweli au kubeba mabox?? hapa TZ kuna shule kiba za IT ...wewe unataka kwenda London!! hapo hujani-convince
ReplyDeleteKaka Michuzi mjibu huyo swali la picha na sisi wengine tupige chabo.Angekuwa na jina la mlimbwende ungeshamjibu ila kwa sababu ni Jacob unajifanya huna time(Ukiibana hii,nitakuona ulivyokuwa dhaifu mkubwa wa vidosho)
ReplyDeleteUK mchosho tu weeee soma tu huko huko nyumbani au jaribu nchi zingine kama Marekani!!
ReplyDeleteHayo ni mawazo tu nakupa.
kaka nenda ka-google utaona kuna vyuo zaidi ya elfu vinavyotoa degree ya IT.
ReplyDeleteDepends dear unataka college au universities
ReplyDeleteMimi niko UK. Chuo kizuri kinachotoa degree ya IT ni Oxford. Namfahamu rafiki yangu amesoma pale sasa hivi anafanya kazi Dubai na kama graduate trainee ana earn $80,000 per year.
ReplyDeleteDaa ndugu yangu nakuonea huruma sana!unataka IT wakati vitu vidogo kama hivyo vinakushinda!IT inataka utundu na upende kusoma kaka
ReplyDeleteDogo mimi sipo Ukerewe lakini ningependa kukusaidia kama ifuatavyo;kuhusu kutuma photo kwa misoup just do the way you send a regular masage to him and then attach yr photo on the msg you send using the attach a document tAb.KUHUSU VYUO HUKO LANDON NI SIMPLE,NENDA KWENYE PC CONNECTED TO THE INTERNET AND THEN USE ANY OF THE SEARCH ENGINES KAMA GOOGLE,YAHOO AND SO FORTH INGIZA SENTENSI INAYOSEMA "IT COLLEGES OR UNIVERSITIES IN LONDON" HAPO UTAPATA LIST YA VYUO VYOTE VINAVYOTOA IT CORSE HAPO LONDON VILEVILE YOU WILL EASILY NAVIGATE TO THEIR WEB SITES AND CHECK STUFFS LIKE TUITION FEES,AND ALL OTHER REQUIREMENTS NEEDED FOR INROLLMENTS.
ReplyDeleteKILA LA HERI,MDAU
Ha ha ha haa!!!
ReplyDeleteNdugu yangu mbona unapotea tena,wewe badala ya kuwaza kwenda Ng'ambo ubnafikiria kwenda manzese.Yaani London na Uingereza kwa Ujumla ni choka mbaya tu.mabo yote USA njoo uinjoi na kusoma bila matatizo,kwanza elimu ya UK sasa ni ya mashaka sana,wengi ni plegarism tu,assessment zake fake,come and taste USA, you will learn while earning.Na hata maendeleo ya teknologia na mitandao ndipo yanazaliwa huku.
Nenda British Council wana list ya vyuo vyao vyote ambavyo ni credible na utapata kila kitu hapo kuanzia ranks mpaka tuition fees. Nenda waulize hao British council ndio kazi yao kutafuta wanafunzi. Na vyuo vingine vya UK viko Malaysia na tuition fees yao iko chini na wakati mwingine unaweza kupata 50% tuition fees fund.
ReplyDeleteAnoy. 6:22:00 PM EAT, Nimekufeel,Good! dogo anatafuta info. watu wanaanza...humu ndani bwana kuna vilaza mno yaani if it was mtihani sijui ingekuwaje. people don think criticaly wanajump na kutoa... Anyway safi sana naisi huyo dogo utakuwa kapata anachotaka kiana.
ReplyDeleteLondoner
Vyuo karibu vyote hapa UK ni karibu sawa tu katika mambo ya IT. Ile zile kasumba za zamani kuwa sijui Oxford, Cambridge ni vyuo vizuri bado ipo.
ReplyDeleteTafuta kwenye mtandao, vyuo vingi vitakujibu maana huku ni biashara, wanataka mahela yako tu!!
We anony wa Tuesday, March 4, 2008 5:40:00 PM EAT huyo rafiki yako aliyekuambia kuwa yeye ni graduate trainee na analipwa $80,000 mwambie aache uonngo. Kama uniamini mimi angalia mwenyewe kazi za dubai (kwenye mtandao)zinazolipa pesa hizo zinahitaji ujuzi gani!!
watu kwa wivu bwana...,angesema anataka chuo mwanza kila mtu angemjibu,jamani dunia hii ya globalisation, DSM aiko mbali na London,hakuna jipya sana la kijana kushangaa London, labda pesa ya EPA imemtembelea au kutafuta maisha kama watu wanafukuzwa na mgambo jijini, why not try in London, NO COUNTRY FOR FIGHTER
ReplyDeleteHivi wabeba box mme realise this is one mla vumbi who wished you well.Ama kwasababu anataka kujiunga na hiyo club ya beba box he has to act nice.Kazi kwelikweli
ReplyDeleteHUYU MUNTU AU MIMI PEKEE YANGU
ReplyDeleteNDIO SUELEWI?
ANATAKA KUCHUKUA DEGREE YA IT
HALAFU KUTUMA HATA PICHA TU HAWEZI
MMH!
Mdau 6:22:00pm una busara sana. Nimependa majibu yako
ReplyDeletesasa wewe kama huwezi ku attach pic utaweza kweli mambo ya IT. Eniwei send message then attach a file (your photo) must be saved in your computer or you can download straight from a camera or mobile phone. If you dont have a camera, get a friend to take your photo and they will send to you via email then save in your computer.
ReplyDeleteJACOB VYUO VINGI SIKU HIZI VINATOA COURSE ZA IT HAPO JUU NILIKUULIZA UNATAKA COLLEGE AU UNIVERSITY HALAFU INATEGEMEA PIA NA ENEO GANI LONDON UTAFIKIA KAMA UTAKUWA UNAKAA EAST LONDON AMBAPO NDIO WABONGO KARIBIA WENGI TUMEJAZANA HUKO NI VIZURI UTAFUTE SAME AREA KUNA EAST LONDON UNIVERSITY/COLLEGE, NORTH EAST LONDON KWA SABABU YA FURSTRATION YA USAFIRI LONDON KWAHIYO ANGALIA KWANZA UTAFIKIA WAPI KWA MWENYEJI WAKO.KAMA KUNA SWALI ULIZA NA KAMA TUNAWEZA KUKUJIBU TUTAKUJIBU
ReplyDeleteBEST OF LUCK
HILDA
Anon wa 6.22 hakika wewe ni muungwana sana na Mungu akubariki sana.Hawa wengine badala ya kutoa mushauri wanasaga tu,kama vile wao wamemaliza kila kitu hapa duniani. Jamani tujifunze kuwapa ushauri wenzetu suo kuwakatisha tamaa.
ReplyDeleteSilent Stalker says...............Imenisikitisha sana kuona kijana mwenzetu anaomba msaada humu ndani, badala ya kumsaidia tunaanza kumkandia, tukumbuke kila mtu amezaliwa katika maisha yake na maisha ya binadamu sio sawa. IT doesnt need uwe all that at the beginning..... The kid does want to learn the subject so lets give him some support.
ReplyDeleteSasa kijana ni hivi, mimi nimesoma my 1st degree here in UK na while I was starting i had little knowledge of IT but after 3 years of studies I graduated with Honours degree, and then i went back home & I started working & it was fantastic job, I am back in UK again doing my Masters degree now, so to cut the story short, ni hivi kijana nimekuwekea link mbili muhimu sana, hizi zitakupa all information about UK universities and whatever course you like, just copy and paste tu.
http://search.ucas.co.uk/cgi-bin/hsrun/search/search/StateId/RmgOXwFLI2yRCkIKtY3LsJ41TGQV_-3FKV/HAHTpage/search.HsKeywordSuggestion.whereNext?query=370&word=IT&single=N
(http://www.ucas.ac.uk/)
na ingine ni
http://www.scit.wlv.ac.uk/ukinfo/
hii ya pili inakupa direct link to every major universities in UK + location zake.
I wish you all the best, ukiwa na shida usijali wewe uliza tu, tupo tutakusaidia.
Mbona watanzania muishio ulaya na amerika mnakuwa ma blind critic! kasema anataka kusoma IT(that is his ambition which is important) suala la kushindwa kutuma attachment hiyo ni kitu ingine kabisa..maana hata nyinyi mwanzo mlikuwa hamjui....zamani ilikuwa mabarua tu kupitia posta enzi hizo mpo secondary....sasa kwanini mumvunje nguvu tena kwa hoja za kimaskini kama mnazotoa...nilidhani kuwepo nje basi exposure yenu ingewasaidia watu wa nyumbani..tatizo ni kuwa wengi wenu mkifika huko hamsomi mnaishia box..ndio maana hamtaki wenzenu wasome ili wawe kama nyinyi. Jacob, kama mdau alivyosema hapo juu, wewe nenda British council(BC)..utapata info zote na process nzima..I did it through BC n nikala nondo zangu pale Birmingham City University zamani ikiitwa UCE...sasa ivi nipo bongo naendeleza libeneke la kusaka noti na kaka michu au vp? wanasema A Fortune always favours brave....follow ur heart son, as long as you know what your doing..sawa Jacob!
ReplyDeleteanon 4 mar, 6:22 umenibariki sana.
ReplyDeletekuna mithali inasema kukaa chini ya muwaridi si ajabu kunukia, naamini jamii inayokuzunguka inafaidika kwa kiasi flani kila unapokuwepo.
Jamani utamaduni wetu watz ni waungwana na wakarimu, tusiache asili hizo tulizorithishwa na wazee wetu ili tuje tuwarithishe watoto wetu ili wawe raia wema, na faraja kwa wengine, tunapokuwa kwenye mataifa mengine tusiokoteze vijichachu vibayavibaya na kuchachua donge zima la unga huku,tuwaachie wenyewe tabia zao za dharau na kuona unamsumbua hata kwa salamu tu huwa wanaona unawapotezea mda.
kijana kaomba msaada ni wajibu kumsaidia haina gharama sana, kuna usemi unasema aulizae hutaka kujua
Waw, unataka vyuo vizuri Dogo, kipo kinaitwa, Manzese-Darajani, kingine kinaitwa Mtaa-wa Kongos, Kingine Ubungo-Terminal, hapo utaelimishwa IT yako!
ReplyDeleteKuweka picha taabu, halafu unarukia Digree?
To jacob, kwanza hongera kwa kuwa na moyo wa kutaka kusoma and hope you keep it up, nyinyi ambao mmechezea bahati zenu poleni, no one to blame but your selves!!!
ReplyDeletekuna chuo kimoja kizuri sana kiko Bristol kinaitwa UWE university west of England.
Bristol pametulia sana hamna fujo fujo kama london, na kazi za hapa na pale wakati unasoma hutakosa za kujisaidia na bills.
Mimi niko Bristol na nategemea kurudi TZ hivi karibuni nitakuletea prospectus yao ya undergraduate .email yangu ni
plus2801002@yahoo.com, nitakupa maelezo zaidi.
Kutoka kwa Dada mpenda maendeleo elimu ni ufunguo wa maisha bora
Wadau vpi .... kwani Jacob angekuwa anajua mambo yote ya IT angetafuta chuo kwa ajili gani?
ReplyDeleteNenda kajiandikishe ESOL (English for Speakers of Other LAnguages) utafundishwa mambo mengi tu.
ReplyDeleteAu kama una mtoto anayesoma shule inayofundisha vizuri na yupo YEAR 3 au 4, basi mwambie akufanyie ni vitu vidogo tu hivyo MKIMBIZI WEWEEEE.
Kazi kubwa mnayojua KUJIWASHA na KUVUTA DIRISHA au KUBEBA MABOKSI. Mnatutia AIBU sana ndugu zetu. Rudini mie mbona nipo safi na nimetulia nikiendeleza shughuli zangu BONGO kwa upooooole. NYAMAUFU