Fatma Amour akifanya mahojiano na televesheni ya C2C leo mchana huko Mikocheni kuhusu tamasha lake la mavazi liitwalo festival Collection litakalo fanyika jumamosi machi 8 hoteli ya movenpick ambapo pia itakuwa siku wa wanawake duniani. kati ni mtangazaji wa C2C Vicky Mketema
Fatma akizungumza na baadhi ya modoz watakaoshiriki siku hiyo ya tamasha la festival Collection leo mchana mikocheni 

Hizo ndio nguo watakazozivaa siku hiyo hao model? Au hao model huvaa hivyo na kutembea huko mjini na hizo nguo ninavyoona hapo?
ReplyDeleteMichuzi naomba unisaidie natafuta mchumba,kama huyo dada Fatma ameolewa au la.nimelipenda hilo umbo la kiingereza.email yangu yangu fridokazadi@gmail.com.Tafadhali ustadhi muhidin usinibanie niko serious.
ReplyDeleteHI NI SAFI AFADHALI WASWAHILI WENZETU MNAJISHUHULISHA...SIO WAHINDI TU..TUTAWEKEZA..HONGERA
ReplyDeletehiyo nguo ya kimasai naweza kuagiza wapi? Lakini mimi nataka mtu anipe email nimtumie design michoro ya design yangu ninayotaka. Nitanunua nyingi tu
ReplyDeleteasante wajasirimali wa bongo
nataka nikusahihishe kidogo brother michuzi huyo dada wa kati haitwi vicky ila jina lake ni ZAMARADI MKETEMA ni mfatiliaji mzuri sana wa kipindi chake cha kona ya mabinti and i love her very much. big up sana kwako brother
ReplyDelete