Mr Michuzi,
Kwanza Asalam Aleikum!
Nakuletea tena habari za kaka yetu Mtanzania Rogers Mtagwa, leo hii usiku huko Philadelphia amemtwanga tena Mmexico yule yule aliyemchapa mwaka jana kwa unanimous decision. Huyu jamaa kwa kweli anastahili kurushwa sana Bongo lakini naelewa watu wengi hawamjui ingawa Boxing world hapa kiwanja wanamfagilia sana.
Fight hii ilionyeshwa live katika kituo cha Television cha Telefetura.

Hii hapa chini nimuhtasari:

Mtagwa beats Valtierra again!Featherweight Rogers Mtagwa (23-12-2, 17 KOs) hammered out a ten round unanimous decision in a good action fight over late sub Aldo Valtierra (24-9, 13 KOs) on Friday night at the New Alhambra in Philadelphia. Scores were 97-92, 96-93, 96-93. Mtagwa previously beat Valtierra by split decision last summer.
source:
http://www.fightnews.com/
Vile vile pata habari zake nying hapa:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyu kapigwa au kapiga?mbona naona kama ndio kafumuliwa mangumi?

    ReplyDelete
  2. LOL.. nilitaka kusema hivyo hivyo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...