enzi za mwalimu nondozzz zililiwagwa na mwenge wa uhuru mlimani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hizo ndizo zilikuwa enzi za utaifa...tulijulikana kama nchi madhubuti,ahh siku hizi...wabeba maboksi na watongozaji wa supa modo tuu ndio uthibitishaji wetu...aibu tuu!!!

    ReplyDelete
  2. Hebu Tuangalie ni vipi wakati ule watu walivyokuwa wakivalia kivazi utapenda uangalie tu kwa uzuri na usmati waliokuwa nao hata mokasi zinagara leo unamkuta leo wengi huvaa kama vile wametemwa kutoka katika punda zaidi nimefurahishwa hiyo BEHEDANI aliyovalia mwalimu very nice leo wapi kiongozi gani hapa nchini baada ya mwalimu aliyewahi kuvalia vazi la kupendeza kama hilo akiwa Rais

    ReplyDelete
  3. Ha ha ha lol kweli tunatoka mbali, enzi hizo nondoz zinagaiwa nkrumah hall, siku hizi wahitimu wa kitivo kimoja tu hawaenei nkrumah hall achilia mbali wahitimu wote, mbali mashuhuda ndugu jamaa na marafiki!

    Ha ha ha hata viwanja vya mlimani siku hizi havitoshi, nahisi wakati huo walikuwa wahitimu 20 chuo kizima au sio michuzi?

    ReplyDelete
  4. Namuona Pius Msekwa nyuma ya Mwalimu! Enzi hizo Mwalimu ndo Chancellor wa Chuo Kikuu, Mkuu wa viwanda vyote nchini, mkuu wa magazeti, mkuu wa kila kitu! Hata kutoka nje ya nchi mpaka ruhusa yake! Wangeendelea hivyo vijana wetu wasingekuwa wanazagaa ovyo kwenye nchi za watu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...