ndiga kibao zikisubiri wenyewe bandarini. juzi jamaa wa nanihii wamepiga mkwara kwamba wataanza kupiga mnada magari na vitu ambavyo vinatia kiwingu kwenye ghala yao kwa muda mrefu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mbona sioni gari wala ndinga yoyote hapo? ama hivi ni VITU AMBAVYO VINATIA KIWINGU KWENYE GHALA! lakini hivi ni vitu gani? wenye macho niambieni. hakyanani hii picha nayo ni kiwingu tu

    ReplyDelete
  2. Mbona... wakati wa nannhii kama haiingii huwa una panua... PANUA PICHA BWANA PANUAAAAAAAAAAAA!!!
    Kama hujui Double click picha bana!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...