
kwanza kabisa hongera kwa kazi nzuri, huyu ni mtanzania (Haniu Maine) -former player of coastal Union katika mji wa reading.
huyu kijana mnamo mwaka 2003 marehemu zakaria kinanda (arrigo sacchi) ndio alivumbua kipaji cha kina huyu na kuchezea coastal union ya tanga wagosi wa kaya, mnamo mwaka 2004 alikwenda ukerewe (uk) kusoma na hivi leo bado aneendeleza kipaji chake katika timu ya Unity fc inayo cheza premier division.
kijana huyu amekuwa ni gumzo kwani timu mbalimbali zimekuwa zikimyemelea kwa ajili ya msimu unao kuja, kwani kwa sasa ligi ndio zinaelekea ukingoni.
nimefanya mahojiano na kijana huyu ananiambia watanzania wengi wanaweza kucheza soka hapa uk isipokuwa wanabanwa na hali ngumu za maisha e.g vibali vya kucheza soka la kulipwa ndivyo vinawakwamisha.
Shukrani
Mdau wa Reading
aminia mwakidila nakuona ukiendeleza libeneke. Mie namfagilia na pia namtakia mafanikio mema. Wadau tumsaidie ainuke ili aendeleze kipaji alichonacho. MACHUI
ReplyDeleteMaksi Zisimo umeipata hiyo?
ReplyDeleteSasa mbona anacheza kwenye uwanja wa maua (yaani park)kule ulaya...angekuwa na kipaji si angechezea timu ya ligi...hata kama daraja la 10!!!jamani msitudanganye sie tuliobaki nyumbani!!
ReplyDeleteAMINIA KAKA, UNAONYESHA MFANO ILA USIWEKE SHULE PEMBENI NA KUTULIA KWENYE CHUO MTIMTI
ReplyDeleteHongera sana Haniu kuwa bado unaendelea kuupiga. Vipi Dula Makubeli habari za maendeleo yake hatuzisikii kwani nae ni mmoja ya vijana wa Tanga / Ilala Maghofani ambao ni promising. Nimesoma kwenye upande wa pili wa stori kwenye gazeti likieleza mechi waliyokuwa wanacheza, lakini hatuna habari za maendeleo yake kisoka huko UK, vipi bado ana ndoto za kuchezea The Gunners?
ReplyDeleteNimemgoogle wapi jina lake hakuna kokote huyu atakuwa mcheza mipira ya makaratasi kama sikosei
ReplyDelete