Home
Unlabelled
ohooooo....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kumbe ndomana mlishinda!!! Sasa tutakuhitaji tena pindi taifa stars itakavyocheza penati siku za usoni.
ReplyDeletedah! nakumbuka huo ni uchawi wa kuzuia goli lisiingie! unabana sawa sawa mpira unatoka nje!
ReplyDeleteHapo hata wabane vipi kama kitu kinatinga wavuni kinatinga tu,
ReplyDeletetajiri
Nilitaka kukuuliza Michuzi kuhusu hii picha mbona naiona blogs zingine ww huiweki? Asikuambie mtu.... Inaonekana kama kushinda mlishinda kwa mengi.... Sikujua kama hii style ya kubana bado ipo.... hahahahaaaaaaaa...
ReplyDeleteBraza Michu tupe matokeo basi ya mtanange huo kati ya tsn na mwananchi ili tujue kama kubana nanihii kunasaidia goli lisiingie?
ReplyDeleteDuh umenikumbusha mbali enzi hizo tukicheza chandimu,wakati wa penati usibobana nanihii hadi wachezaji wenzako wanakuona msaliti kama mpira utatinga wavuni!
...... M I C H U Z I .....! ! ! !
ReplyDeletekak michu hicho kifua chako kimejaa garden loving you kibao. kaaaaaaaazzzzzz kwelikweli!
ReplyDeletemichu, kwa mtaji huu,'dimbwi la maini'(bwawa mtakuwa nyinyi, bwana?) wanakuhitaji sana mwaka huu... yawabidi wakutumie tiketi ukawafanyie vimbwanga hapo dimbwini la maini... SWALI LA KIZUSHI-ZUSHI: Huyo jamaa mwenye jezi ya kibuluu 'hanazo' ama anashabikia timu pinzani na yenu?...
ReplyDeleteSasa Michuuu kwanini ni mbinu hii usiipeleke kwa Rafael Benitez ili kuokoa jahazi la bwawa la maini. Nadhani hata taifa stars watakuhitaji kwenye mechi zao maana Mzee unabinya kama vile .....
ReplyDeleteKaka michuzi samahani mbona jinsi ulivyojishika hapo kwa style ya kubana inaonesha umezikusanya saaaana au ndio unakuwa mtu mzina na umeshaanza ile inaitwa NGIRI MAJI?kama ni hivyo usijali siku hizi matibabu ni rahisi sana.Wengine wanaita kitenisi.
ReplyDeletekitabibu, ukiminya peke wakati wa msongo wa mawazo (mfano wakati penalti inapopgwa, ama unapokuwa unafanya mtihani, ama ukiwa umepata mshtuko)ambapo Insulin nyingi huzalishwa mwilini sababu ya stress (msongo) unaweza kuhatarisha mfumo wa uzazi, manake Insulin huzidisha mapigo ya moyo, mishipa ya damu pia huzidi kazi yake mpaka kwa maeneo, sasa unazuia damu kwa maeneo, wadau mtindo huu tuuache. Dawa katika suala kama hilo ni kuvuta pumzi kwa wingi na kuachia taratibu.
ReplyDeletemisupu eeh mi ntakuzawadia jezi mpya ya manchester united...unataka ya christiano ama misupu?itakuwa afadhali kuliko kuvaa nguo za kazi uwanjani...au vipi?
ReplyDeleteAisee twashukuru sana kwa huo ushauri wako wa kitabibu,lakini hii inausiana vipi na kuzuia,kuepusha KITU kisitokee??Je inakuwaje kama pande zote mbili Waliminya...??
ReplyDeleteDuhh!! Bongo bwana everything is connected to JuJu!! Imani ya ajabu sana hii.
Bro michu!
ReplyDeleteIle comment yako ya kule kwenye ze nanihiiii!na jinsi ulivyojishika hapo,mi mbavu sinaaa!
we jenga taswila akija akute haipo!
TUENDELEZE USHIRIKIANO HUO HADI KWENYE TIMU YA TAIFA ISIJE IKAFIKA SIKU TUNAPIGIANA PENATI MKASHINDWA KUTOA USHIRIKAIANO MKAONEKANA WASALITI.
ReplyDeleteKaaaaaaazi kwelikweli!
ReplyDeleteUCHAWI WA KUMINYA (ASHUA) ILI MPIGAJI PENATI AKOSE JE UNAFANIKISHA KUZUIA GOLI KAMA ANAVYOFANYA HUYO MWENYE SURUALI NYEKUNDU.
ReplyDeleteKubana nanihiii na kale kafulana zingesaidia...Michuzi yeye kashika nanihii kabisa badala ya nanihii na kale kafulana hajakavaa..hiyo penalt lazima ilikuwa goli!!Tsn mchawi wenu kumbe mnaye humohumo newsroom
ReplyDelete